-
Sera za ushuru za Trump na ukuruba wa China na Ulaya
Apr 10, 2025 07:14Sera za ushuru za Rais Donald Trump wa Marekani zimegeuka kuwa vita vya kibiashara kati ya Marekani na waitifaki, washirika na wapinzani wake wa kibiashara.
-
China yajibu mapigo; yaongeza ushuru wa 84% kwa bidhaa za US
Apr 09, 2025 23:24China imesisitiza kuwa "itapambana hadi mwisho" mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump.
-
China yaapa 'kupambana hadi mwisho' dhidi ya ushuru wa Trump
Apr 08, 2025 06:15Wizara ya Biashara ya China imeionya Marekani dhidi ya kuingia katika msururu wa vikwazo vya kibiashara vya 'kujibishana mapigo' baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kutishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za China zinazoingizwa nchini Marekani.
-
China: Tuko tayari kustawisha uhusiano wa kijeshi na Iran na Russia
Mar 29, 2025 23:08Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi hiyo, Iran na Russia na kusisitiza kuwa Beijing iko tayari kustawisha ushirikiano wa kijeshi na nchi hizo mbili.
-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 02:34Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
China yaitaka Syria iunde serikali shirikishi na ipambane na ugaidi
Mar 26, 2025 04:11Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa mpito wa Syria waandae mchakato wa kuasisi serikali shirikishi na wachukua hatua madhubuti za kupabana na ugaidi nchini humo.
-
China yaionya Marekani, yaitaka iache kuingilia ushirikiano wake wa kibiashara na Iran
Mar 22, 2025 07:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya China na Iran.
-
Rais wa China akataa mwaliko wa EU wa kuhudhuria kikao cha kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano
Mar 17, 2025 02:06Rais Xi Jinping wa China amekataa mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichopangwa kufanyika mjini Brussels kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yake na Umoja wa Ulaya.
-
"Luteka ya Mkanda wa Usalama, dhihirisho la uwezo wa Jeshi la Majini la Iran"
Mar 12, 2025 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya 'Mkanda wa Usalama 2025' yanadhihirisha ushujaa na uwezo mkubwa wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu katika medani za kimataifa.
-
China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili
Mar 08, 2025 03:29Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeutuhumu utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kufuata sera za " nyuso mbili" na kuahidi "kukabiliana kwa uthabiti" na mashinikizo yanayoongezeka ya vikwazo, huku mvutano kati ya nchi hizo mbili zenye nguvu za kiuchumi ukiendelea kutokota.