Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  • Wito wa kukabiliana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu Marekani

    Wito wa kukabiliana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu Marekani

    Apr 19, 2016 16:34

    Kituo cha Kiislamu cha America Kaskazini kimetoa wito wa kukabiliana na wimbi la propaganda chafu dhidi ya Uislamu.

  • Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu

    Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu

    Apr 19, 2016 15:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limesambaratisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran

  • UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US

    UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US

    Apr 16, 2016 07:25

    Umoja wa Mataifa umekosoa vikali matamshi ya chuki na kichochezi yanayotolewa na baadhi ya wagombea na hususan wa chama cha Republican katika kampeni za urais nchini Marekani.

  • Waziri wa Ufaransa alazimika kuomba radhi baada ya kukejeli hijabu

    Waziri wa Ufaransa alazimika kuomba radhi baada ya kukejeli hijabu

    Mar 31, 2016 14:18

    Waziri wa Haki za Wanawake wa Ufaransa amejikuta pabaya baada ya kutoa matamshi ya kuwavunjia heshima wanawake wa Kiislamu na vazi la stara la hijabu.

  • Wimbi jipya la chuki laibuka dhidi ya Uislamu Marekani

    Wimbi jipya la chuki laibuka dhidi ya Uislamu Marekani

    Mar 25, 2016 15:52

    Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.

  • Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami

    Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami

    Mar 13, 2016 16:52

    Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka kwa kiasi kikubwa mno.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS