-
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Jan 08, 2026 10:06Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
-
White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani
Jan 08, 2026 03:04Ikulu ya White House ya Marekani imesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo na washauri wake wanatathmini "machaguo mbali mbali" katika jitihada za kulitwaa eneo la Greenland, likiwemo chaguo la kutumia jeshi la nchi hiyo.
-
Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?
Jan 05, 2026 11:57Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Onyo kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran
Jan 02, 2026 12:29Tehran imeonya kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
-
Denmark: Tutasimama kidete dhidi ya mpango wa Trump kwa Greenland
Jan 02, 2026 10:13Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen amepinga vikali juhudi mpya za Marekani za kuinunua Greenland, akitoa hotuba kali dhidi ya mpango huo, huku mvutano wa kidiplomasia baina ya pande mbili hizo ukipamba moto.
-
Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa
Dec 31, 2025 12:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran yajibu vitisho vya Trump, yaapa kwamba 'jibu kali' litatolewa kwa uchokozi wowote
Dec 30, 2025 03:26Admirali Ali Shamkhani, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelaani vikali vitisho vipya vilivyotolewa na Marekani vya kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu, akiapa kuwa jibu kali litatolewa endapo utafanywa uchokozi wowote ule.
-
Trump asema US imeshambulia kijeshi ndani ya Nigeria kuwalenga wanaoua wakristo wasio na hatia
Dec 26, 2025 07:31Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanya shambulio la anga dhidi ya wapiganaji wa kundi la DAESH (ISIS) au ISIL kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Sambamba na kuanza tena chokochoko za Trump, EU yasema iko pamoja na Denmark, Greenland
Dec 23, 2025 11:18Umoja wa Ulaya umeonyesha mshikamano na Denmark na eneo la Greenland kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuteua mjumbe wake maalumu katika eneo hilo.
-
Nyaraka za mahakama: Epstein alimuarifisha Trump kwa msichana wa miaka 14
Dec 22, 2025 02:50Uwasilishaji faili jipya la mahakama katika kesi ya Jeffrey Epstein unaonyesha kwamba, mfanyabiashara haramu huyo wa ngono alimtambulisha binti wa miaka 14 kwa Rais wa Marekani Donald Trump katika makazi yake ya Mar-a-Lago.