-
Mashirika ya haki za binadamu yatahadharisha kuhusu amri ya Trump ya kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Jan 26, 2025 07:07Wanaharakati wa haki za kiraia wameitaja amri mpya ya kiutendaji iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani inayowazuia raia wa nchi za Kiislamu kuingia Marekani kuwa ina taathira kubwa zaidi kuliko kile kilichoshuhudiwa mwaka 2017 na katika awamu ya kwanza ya serikali yake.
-
Ujio wa Trump; Marekani yawakamata na kuwafukuza mamia ya wahamiaji
Jan 25, 2025 02:56Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House ya Marekani amefichua kuwa, katika wiki ya kwanza ya urais wa Donald Trump, wahamiaji haramu 538 wamekamatwa na kuzuiliwa, huku mamia ya wengine wakifukuzwa nchini.
-
Iran: Kuzishutumu nchi huru bila ya sababu ni kuendeleza uvunjaji wa sheria
Jan 24, 2025 03:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tuhuma ya Marekani dhidi ya Cuba na kuliingiza tena jina la nchi hiyo katika orodha ya mataifa yanayodaiwa kuunga mkono ugaidi ni hatua ya kipuuzi na isiyokubalika kabisa.
-
Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine
Jan 24, 2025 03:34Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa kwa kuuza rasilimali zake za nishati za bei ya juu kwa watu wa Ulaya walioathiriwa na vita.
-
Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu
Jan 23, 2025 12:27Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la "Ghuba ya Mexico" kuwa "Ghuba ya Marekani" imekabiliwa na hisia kali kutoka Mexico.
-
Maandamano ya Kwanza Dhidi ya Sera za Trump huko Washington
Jan 21, 2025 14:28Wakati ambapo Donald Trump, rais mteule wa Marekani, ameapishwa rasmi Jumatatu, tarehe 20 Januari, maandamano dhidi ya sera zake tayari yameanza. Katika muktadha huu, maelfu ya Wamarekani, wengi wao wakiwa wanawake, wamekusanyika katika mitaa ya Washington kuandamana dhidi ya sera za Trump.
-
Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jan 19, 2025 11:32Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.
-
Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?
Jan 17, 2025 13:55Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Moto wa Los Angeles; Ishara ya uzembe wa serikali ya Marekani
Jan 11, 2025 10:44Mji wa Los Angeles katika jimbo la California, Marekani, umekuwa ukiteketea kwa moto usiozuilika kwa siku kadhaa sasa katika msimu wa baridi kali na kuwaacha maelfu ya watu bila ya makazi. Moto huo pia umesababisha hasara na uharibifu mkubwa unaotajwa kuwa ni wa aina yake katika historia ya majanga nchini Marekani.
-
Mahakama ya New York yamhukumu Trump katika kesi ya ufisadi
Jan 11, 2025 06:38Mahakama ya New York jana ilitoa hukumu yake dhidi ya rais mteule wa Marekani, Donald Trump katika kesi ya faili la ufisadi wa kingono.