Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Kusitishwa uanachama wa Corbny ndani ya chama cha Leba kutokana na misimamo yake dhidi ya Uzayuni

    Kusitishwa uanachama wa Corbny ndani ya chama cha Leba kutokana na misimamo yake dhidi ya Uzayuni

    Oct 31, 2020 06:31

    Jeremy Corbyn, kiongozi wa zamani wa chama cha Leba nchini Uingereza siku zote amekuwa akichukiwa na duru za Magharibi na Kizayuni kutokana na misimamo yake huru anayochukua hususan ya kupinga vitendo visivyo vya kibinadamu vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina kupitia matamshi na taarifa anazotoa.

  • Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi

    Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi

    Oct 30, 2020 23:08

    Kushtadi vitendo vya chuki na hujuma dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa vinavyokwenda sambamba na uungaji mkono wa Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa kisingizio kutetea uhuru wa kusema na kujieleza kumekabiliwa na radiamali mbalimbali na kuifanya nchi hiyo kubwa ya Ulaya ikabiiwe na wimbi kubwa la hasira.

  • Mwakilishi wa Marekani: Kuanzisha uhusiano na Israel hakutazuia kumegwa Ufukwe wa Magharibi

    Mwakilishi wa Marekani: Kuanzisha uhusiano na Israel hakutazuia kumegwa Ufukwe wa Magharibi

    Oct 30, 2020 13:03

    Mwakilishi wa rais wa Marekani wa masuala ya Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) amesema mpango wa kumegwa sehemu ya eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na kuunganishwa na Israel ungali uko pale pale.

  • Kufichuliwa hatua za upendeleo za Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani kwa maslahi ya kampeni za uchaguzi za Trump

    Kufichuliwa hatua za upendeleo za Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani kwa maslahi ya kampeni za uchaguzi za Trump

    Oct 30, 2020 09:09

    Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani John Ratcliffe amezungumzia tuhuma za Iran kuingilia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani ambazo sasa imebainika kuwa zimetolewa ili kuimarisha kampeni za uchaguzi za Donald Trump.

  • Trump akiri: Hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini Marekani

    Trump akiri: Hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini Marekani

    Oct 29, 2020 23:16

    Tangu aliposhika madaraka ya nchi Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akihujumu vikali vyombo vya habari vinavyomkosoa yeye na utendaji wa serikali yake.

  • Trump kuamuru pasi za kusafiria za Wamarekani waliozaliwa Quds ziandikwe wamezaliwa Israel

    Trump kuamuru pasi za kusafiria za Wamarekani waliozaliwa Quds ziandikwe wamezaliwa Israel

    Oct 29, 2020 22:59

    Katika mwendelezo wa hatua za kiuadui za serikali yake dhidi ya Wapalestina na za uungaji mkono kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Rais Donald Trump wa Marekani anapanga kubadilisha pasi za kusafiria za Wamarekani waliozaliwa katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem), Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Trump atoa madai mapya ya kichekesho, asema Biden akishinda urais, China itaimiliki Marekani

    Trump atoa madai mapya ya kichekesho, asema Biden akishinda urais, China itaimiliki Marekani

    Oct 28, 2020 04:30

    Rais Donald Trump ambaye anagombea muhula wa pili wa urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican ameibuka na madai mapya ya kichekesho, ambapo amesema iwapo mshindani wake Joe Biden, anayewania kiti hicho kwa tiketi ya chama cha Democrat ataibuka mshindi katika uchaguzi wa mwezi ujao, basi Marekani itakuwa milki ya China.

  • Kukiri Marekani kuishiwa na vikwazo vya kuipigisha magoti Iran

    Kukiri Marekani kuishiwa na vikwazo vya kuipigisha magoti Iran

    Oct 27, 2020 02:34

    Baada ya rais wa Marekani kutangaza kuitoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 na kuirejeshea Iran vikwazo vyote ilivyokuwa imeondolewa baada ya mapatano hayo, Donald Trump na serikali yake walidhani kwa njia hiyo wataweza kutimiza kiurahisi ndoto yao ya kupigisha magoti Tehran na kuilazimisha ikubali mapatano yanayotakiwa na Washington. Hata hivyo ndoto hiyo kamwe haikuaguka.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Oct 25, 2020 08:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Ethiopia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu bwawa la Renaissance kuwa ni jinai na uhalifu.

  • Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani

    Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani

    Oct 24, 2020 07:38

    Kupamba moto kampeni za uchaguzi nchini Marekani kwa katika kipindi hiki cha kukaribia tarehe ya uchaguzi wa rais hapo Novemba 3 mwaka huu, na jitihada za Rais Donald Trump wa nchi hiyo ambaye ni mgombea wa chama cha Republican za kutaka kuzusha hali ya mvutano katika jamii ya Marekani, vimeibua hali ya wasiwasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS