-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 07:39Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
Argentina yatinga fainali Kombe la Dunia; ndoto za Messi kutimia?
Dec 14, 2022 04:26Timu ya taifa ya soka ya Argentina imetinga hatua ya fainali ya mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar baada ya kuibamiza timuu ngumu ya Crotia mabao 3 kwa nunge.
-
Njama ya UAE yazimwa na "kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel"
Dec 05, 2022 12:06Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag "Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar" kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama ya Imarati ya kueneza mpango wa kuanzisha uhusiano na Wzayuni.
-
Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 04, 2022 02:38Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Marefa wanawake wachezesha mechi ya Kombe la Dunia 2022 kwa mara ya kwanza katika historia
Dec 02, 2022 10:46Kwa mara ya kwanza marefa watatu wanawake wamechezesha mechi ya kandanda ya Kombe la Dunia kati ya timu za taifa za Costa Rica na Ujerumani katika kundi E la mashindano yanayofanyika nchini Qatar.