-
Taathira za kisaikolojia zinazotokana na usomaji wa Qur'ani Tukufu
Mar 21, 2025 15:52Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur'ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi ya Aya za Qur'ani na kuyazingatia kwa kina hutuliza moyo wa msomaji na hivyo kumpa somo la kujifahamu; kwa njia ambayo humfanya apate kutambua vizuri uwezo na udhaifu wake katika mazingira tofauti.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu awasilisha sera jumla kuhusu kuimarisha familia
Sep 03, 2016 07:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amewasilisha sera jumla kuhusu familia ili zitekelezwe na vyombo vyote husika nchini Iran.