• Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) awasili mjini Beirut, Lebanon

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) awasili mjini Beirut, Lebanon

    Oct 12, 2024 11:48

    Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ambaye yupo njiani kuelekea Geneva kushiriki Mkutano wa Kilele wa Mabunge ya Dunia, amewasili mjini Beirut kabla ya kuelekea Uswisi kwa ajili ya kuonana na kuzungumza na viongozi wa Lebanon na kutangaza uungaji mkono wake kwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Iran yatuma barua za malalamiko kwa maafisa wa haki za binadamu wa UN

    Iran yatuma barua za malalamiko kwa maafisa wa haki za binadamu wa UN

    Aug 14, 2024 14:57

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amewatumia barua kwa nyakati tofauti maafisa wa haki za binadamu akibainisha malalamiko makubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa hatua na sera zisizo z akibinadamu za utawala wa Kizayuni na hasa mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyeh kiongozi wa kisiasa wa Hamas.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama na amani ya dunia nzima

    Iran: Utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama na amani ya dunia nzima

    Apr 02, 2024 10:06

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa na taasisi nyinginezo za kimataifa huko Geneva Uswisi amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa Israel ni utawala unaohatarisha usalama wa dunia nzima na unapuuza kikamilifu hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Iran yalaani vikwazo vya upande mmoja vya Magharibi dhidi ya mataifa huru

    Iran yalaani vikwazo vya upande mmoja vya Magharibi dhidi ya mataifa huru

    Mar 14, 2024 14:13

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makao makuu ya Umoja wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesema: Vikwazo vya upande mmoja vimepelekea kukithiri machafuko ya kibinadamu kote duniani.

  • Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika Mkutano wa Geneva

    Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika Mkutano wa Geneva

    Feb 27, 2024 09:06

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasilisha misimamo na mitazamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika mkutano wa 55 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi.

  • Iran; Mwenyeji wa idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani

    Iran; Mwenyeji wa idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani

    Dec 14, 2023 12:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Kongamano la Baraza la Wakimbizi Duniani huko Geneva Uswisi kwamba: 'Nataraji kuwa Umoja wa Mataifa na Kamisheni Kuu ya Wakimbizi Duniani zitatekeleza majukumu yao kuhusu wakimbzi na hasa kuhusu raia wa Kiafghani milioni tano wanaoishi Iran.'

  • Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Dec 13, 2023 04:31

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Mienendo isiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia mateka wa Palestina katika ukanda wa Gaza ni mfano na ishara ya wazi ya tabia ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu

    Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu

    Mar 03, 2022 12:52

    Naibu wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vikali kutumiwa vibaya suala la haki za binadamu.

  • Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Jul 04, 2021 10:04

    Katika hali ambayo jitihada za kuleta amani na usalama wa kudumu na kuitishwa uchaguzi wa haki utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa zinaendelea, taarifa iliyotolewa hivi karibuni kuhusu Libya si ya kufurahisha hata kidogo.

  • Iran yakanusha madai yasiyo na msingi kuhusu haki za binadamu

    Iran yakanusha madai yasiyo na msingi kuhusu haki za binadamu

    Sep 30, 2020 07:14

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Baghaei Hamane amesema madai yaliyotolewa na baadhi ya nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu Iran hayana ukweli wala ushahidi wenye mashiko.