Pars Today
Waalgeria wanaoishi nchini Uswisi wamefanya maandamano ya kupinga msimamo wa Rais Abdelaziz Bouteflika wa kugombea tena urais kwa muhula wa tano.
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran leo ameelekea Geneva, Uswisi kwa lengo la kushiriki katika kikao cha pande tatu kuhusu katiba ya Syria
Kikao cha 139 cha Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) kimepiga kura kuunga mkono hoja ya kutaka kupiga marufuku mijadala inayohusu masuala ya ushoga na usagaji.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, kuanzia mwaka 2000 hadi sasa zaidi ya watu elfu 33 waliokuwa katika jitihada za kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania wamepoteza maisha.
Umoja wa Mataifa umepongeza duru ya hivi punde ya mazungumzo ya amani ya Syria iliyomalizika jana Ijumaa mjini Geneva nchini Uswisi.
Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria amesema pande zote zinatambua kuwa, mgogoro wa nchi hiyo hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi.