Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Putin: Sababu kuu kabisa  ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina

    Putin: Sababu kuu kabisa ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina

    Oct 25, 2024 04:02

    Rais Vladimir Pitin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota hali ya mambo katika eneo la Asia Magharibi, na kusema kuwa, sababu kuu ya mgogoro wa eneo hilo ni kutokuwepo taifa huru la Palestina.

  • Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari

    Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari

    Oct 23, 2024 04:43

    Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa Habari”.

  • Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    Oct 20, 2024 03:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.

  • Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

    Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

    Oct 16, 2024 10:00

    White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.

  • Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon

    Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon

    Oct 14, 2024 08:07

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa mara moja mauaji ya halaiki na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Mshindi wa Nobel: Hali ya watoto wa Ghaza ni kama ya wa Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia

    Mshindi wa Nobel: Hali ya watoto wa Ghaza ni kama ya wa Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia

    Oct 14, 2024 02:08

    Kundi la Nihon Hidankyo, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2024 limesema, hali ya watoto katika Ukanda wa Ghaza ni sawa na hali ya watoto wa Japan ilivyokuwa mwishoni mwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.

  • Ishiba: Sitasahau kamwe mshtuko niliopata kwa taswira ya bomu la nyuklia la US Hiroshima

    Ishiba: Sitasahau kamwe mshtuko niliopata kwa taswira ya bomu la nyuklia la US Hiroshima

    Oct 13, 2024 05:36

    Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba amesema, anataka "ghaya na lengo kuu" liwe ni la kuwa na dunia isiyo na silaha za nyuklia huku akikumbusha kile alichokiita tajiriba ya kushtusha aliyopata alipoona video inayoonyesha Marekani ikishambulia mji wa Hiroshima nchini Japan kwa bomu la nyuklia na kusisitiza kwamba anataka kuhakikisha majanga ya aina hiyo hayawezi kutokea tena.

  • Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza

    Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza

    Oct 05, 2024 23:20

    Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu

    UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu

    Sep 30, 2024 22:48

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa hali ya kiafya na kimaisha katika Ukanda wa Gaza si ya kibinadamu.

  • Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Sep 25, 2024 00:07

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za kiholela na za kigaidi zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku zilizopita na uchokozi wake mkubwa dhidi ya Lebanon ambao umemwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia hautabaki bila majibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS