-
IRGC: Meli za Marekani Ghuba ya Uajemi ziko katika udhibiti kamili wa Iran
May 25, 2019 07:54Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH (IRGC) amesema kuwa, meli za Marekani zilizopo eneo la Ghuba ya Uajemi, hazina uwezo wa kufanya operesheni na zipo katika udhibiti kamili wa kikosi cha operesheni cha jeshi la SEPAH.
-
Meja Jenerali Baqeri: Jeshi la Iran linafuatilia nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
May 23, 2019 23:12Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi la Iran linafuatilia kwa karibu nyendo na harakati za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
-
Qatar yataka mazungumzo bila masharti kutatua mgogoro ulioanzishwa na Saudia dhidi yake
Apr 13, 2019 22:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, Doha inakaribisha mazungumzo yasiyo na masharti na yanayozingatia sheria za kimataifa bila ya kukanyaga haki ya kujitawala nchi yoyote ile.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 05, 2019 10:45Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Qatar: Nchi za Kiarabu zina haja ya kuwa na uhusiano mzuri na Iran
Feb 27, 2019 23:00Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zina wajibu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran kwani zinaihitajia nchi hiyo.
-
Pembetatu ya kuzua mivutano katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Jan 18, 2019 23:36Katika ripoti yake ya hivi karibuni, shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa hali ya haki za binadamu katika nchi tatu za Saudi Arabia, Imarati na Bahrain ni ya kutisha mno.
-
Iran yazindua manowari mpya ya kisasa katika Ghuba ya Uajemi
Dec 01, 2018 04:40Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua manowari mpya ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuvurumisha makombora.
-
Meja Jenerali Jaafari: Ujumbe wa Iran kwa nchi za Ghuba ya Uajemi ni wa amani na urafiki
Sep 05, 2018 09:21Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, ujumbe wa Iran kwa nchi za Ukanda wa Ghuba ya Uajemi ni wa amani na urafiki sambamba na kuleta hali ya ushirikiano kwa ajili ya kudhamini amani katika maji ya Ghuba ya Uajemi bila ya uwepo wa vikosi vya madola ajinabi.
-
Meja Jenerali Bagheri: Maadui ni walowezi Ghuba ya Uajemi
Aug 29, 2018 21:56Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutokana na uimara wa kikosi cha majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), nchi maadui huwa zina woga mkubwa kabla ya kuingia katika Lango Bahari la Hormoz (la kusini mwa Iran) na katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, maadui hao wamelazimika kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Marekani imebakia kuangalia kwa macho tu uwezo wa kijeshi wa Iran Ghuba ya Uajemi
Aug 09, 2018 09:10Kamanda wa Komandi Kuu wa Jeshi la Marekani amezungumzia luteka mazoezi ya kijeshi yaliyoifanywa hivi karibuni na Jeshi la Majini la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormoz na kukiri uwezo mkubwa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.