-
Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan
May 02, 2023 07:34Martin Griffiths, mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kabla ya kuelekea nchini Sudan kwamba hali ya kibinadamu nchini humo ni mbaya sana kiasi kwamba imefikia kwenye hatua ya kusambaratika kabisa. Amesema, utatuzi wa mgogoro wa Sudan hauwezi kupatikana kutokana na kuendelea vita hivyo.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 08:13Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi
Dec 18, 2022 09:43Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.