Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas yalaani njama za Bahrain za kuwa na uhusiano wa kawaida na Wazayuni

    Hamas yalaani njama za Bahrain za kuwa na uhusiano wa kawaida na Wazayuni

    Sep 04, 2020 07:27

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kitendo cha baadhi ya nchi cha kuusaidia Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel kinazidi kuutia kiburi utawala huo pandikizi cha kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina na nchi za eneo hili.

  • HAMAS yasisitizia umoja wa Wapalestina mkabala wa njama za Israel-Marekani

    HAMAS yasisitizia umoja wa Wapalestina mkabala wa njama za Israel-Marekani

    Sep 04, 2020 02:37

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniya kwa mara nyingine tena amesisitiza udharura wa kuungana na kushirikiana makundi yote ya kisiasa na kijamii ya Palestina kwa lengo kuzima njama za maadui zao, yaani utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na baadhi ya tawala za kizandiki za Kiarabu.

  • HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na Hizbullah ya Lebanon

    HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na Hizbullah ya Lebanon

    Sep 03, 2020 03:37

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, uhusiano wa kistratejia baina ya makundi ya ukombozi na muqawama na Hizbullah ya Lebanon utapelekea kukombolewa Palestina kutoka kwenye makucha ya maghasibu wa Israel.

  • Ismail Haniya: Azma ya muqawama Palestina ni kuhitimisha mzingiro dhidi ya Gaza

    Ismail Haniya: Azma ya muqawama Palestina ni kuhitimisha mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 30, 2020 22:05

    Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, azama na irada ya taifa na muqawama wa Palestina ni kufanya hima kwa ajili ya kuhitimisha mzingiro wa kidhulma unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Aug 28, 2020 22:07

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amezikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kutokana na jitihada zao za kutaka kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • HAMAS: Msikiti wa al-Aqswa uteandelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu

    HAMAS: Msikiti wa al-Aqswa uteandelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu

    Aug 20, 2020 07:06

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa utaendelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu na kwamba, kila mkono wenye lengo la kuuvunjia heshima msikiti huo utakatwa.

  • Hamas yapinga vikali kutiwa mbaroni Sheikh Raed Salah

    Hamas yapinga vikali kutiwa mbaroni Sheikh Raed Salah

    Aug 16, 2020 21:59

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumtia tena mbaroni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina ina lengo la kuwafutilia mbali walinzi wa Msikiti wa Al Aqsa.

  • Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza

    Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza

    Aug 10, 2020 03:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu chokochoko zake katika Ukanda wa Ghaza.

  • Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano

    Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano

    Aug 03, 2020 06:33

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unatekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Ghaza lengo likiwa ni kuwahamishia wananchi wa Palestina migogoro ya ndani ya utawala huo na kupotosha fikra za walimwengu kuhusu matukio na hali mbaya ya kisiasa inayoukabili sasa utawala wa Israel.

  • Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel

    Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel

    Jul 27, 2020 08:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imepinga hatua ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha bajeti ya msaada wa kifedha kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kuwa: Hatua hiyo inaimarisha mienendo ya kibabe na ukiukaji wa sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS