Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Jun 14, 2020 22:41

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mwito kwa wanazuoni wa Kiislamu kuunda kamati ya uratibu itakayopewa jukumu la kuunda na kutekeleza mpango wa kistratajia wa kuunga mkono kadhia ya Palestina na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Rais Donald Trump wa Marekani zilizopewa jina la "Muamala wa Karne."

  • Hamas yakosoa UAE kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Hamas yakosoa UAE kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Jun 13, 2020 03:05

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemkosoa Yousef Al Otaiba Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Washington, Marekani ambaye anafanya juu chini kutafuta nukta za pamoja baina ya nchi yake na utawala ghasibu wa Israel huku akiomba kuwepo uhusiano wa kawaida baina ya nchi yake na utawala huo.

  • Stratijia ya Hamas kwa ajili ya kukabiliana na Israel

    Stratijia ya Hamas kwa ajili ya kukabiliana na Israel

    Jun 10, 2020 04:21

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza stratijia yenye nguzo nne kwa ajili ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel

  • Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Jun 10, 2020 03:26

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewatumia barua tofauti wakuu na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu zaidi ya 40 akiwataka kuchukua hatua za harakati kusitisha mpango wa Israel wa kutaka kuyaunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Jun 09, 2020 08:20

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitolea wito nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dhati na kivitendo kuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza mpango wa kutwaa maeneo ya Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan na kuyaunganisha na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Hania aitaka PLO kuchukua uamuzi wa kihistoria kuhusu mapambano dhidi ya Wazayuni

    Hania aitaka PLO kuchukua uamuzi wa kihistoria kuhusu mapambano dhidi ya Wazayuni

    Jun 07, 2020 07:40

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Palestina (Hamas) ameitaka Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) inayoongozwa na Mahmoud Abbas kuchukua uamuzi wa kihistoria na kuungana na makundi na harakati nyingine za kitaifa na Kiislamu za Palestina.

  • Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria

    Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria

    Jun 05, 2020 03:26

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani mashambulizi ya makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria.

  • Hali ya kiafya ya kiongozi wa HAMAS anayeshikiliwa katika jela ya Saudia yazidi kuzorota

    Hali ya kiafya ya kiongozi wa HAMAS anayeshikiliwa katika jela ya Saudia yazidi kuzorota

    May 29, 2020 06:07

    Hali ya kiafya ya Muhammad Khidhri, mwakilishi wa harakati ya muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ambaye alitiwa mbaroni miezi kadhaa iliyopita nchini Saudia, imezidi kuwa mbaya.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    May 20, 2020 22:31

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.

  • Haniyah: Kuufanya wa kawaida uhusiano na Israel ni kosa lisilosameheka

    Haniyah: Kuufanya wa kawaida uhusiano na Israel ni kosa lisilosameheka

    May 09, 2020 08:03

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema njama zozote zinazolenga kuufanya wa kawaida uhusiano baina ya mataifa ya Kiarabu na utawala haramu wa Israel ni kosa ambalo halina msahama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS