-
Hizbulla yaendelea kutoa vipigo dhidi ya Wazayuni
Nov 16, 2024 07:25Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo na kuyatwanga kwa makombora na droni maeneo mbalimbali ya kijeshi ya Israel.
-
Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo kikubwa cha jeshi la anga la Israel
Nov 13, 2024 12:02Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, kwa mara ya kwanza, imeshambulia kwa makombora kambi kubwa ya jeshi la anga la utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwa ni sehemu ya ulipizaji kisasi dhidi ya ukatili unaofanywa na utawala huo ghasibu.
-
Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha Wazayuni huko Golan
Nov 11, 2024 07:46Harakatii ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza imekishambulia kwa makombora kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha utawala ghasibu wa Israel katika eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Hizbullah ya Lebanon yazindua kituo cha makombora cha Emad 5
Nov 04, 2024 11:57Hizbullah ya Lebanon imezindua picha za kituo cha makombora cha chini ya ardhi cha Emad 5.
-
Kuendelea mafanikio ya Hizbullah ya Lebanon katika makabiliano na jeshi la Kizayuni.
Nov 04, 2024 11:29Hizbullah ya Lebanon inatekeleza vyema operesheni zake za kijeshi dhidi ya jeshi la Kizayuni katika nyanja mbalimbali.
-
Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video
Nov 04, 2024 06:29Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwamba kwa uchache makombora 100 ya Hizbullah ya Lebanon yametwanga vituo vya kijeshi vya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Qaani: Kikosi cha Quds cha IRGC kitakuwa pamoja na Hizbullah hadi kuangamizwa Uzayuni
Nov 01, 2024 07:11Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amempongeza Sheikh Naim Qassim kwa kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na kusema: Kikosi cha Quds kitakuwa pamoja na Hizbullah hadi utakapotokomezwa mti habithi wa Uzayuni na kukombolewa Palestina na Quds Tukufu.
-
Hizbullah yafanya shambulio la makombora katika vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni
Oct 31, 2024 07:07Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeshambulia kwa makombora vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Biden ataja sharti la kuiruhusu Ukraine kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini
Oct 31, 2024 02:34Rais Joe Biden wa Marekani amesema, vikosi vya Ukraine vinapaswa kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini ikiwa watavuka mpaka na kuingia kwenye ardhi ya Ukraine.
-
Sheikh Naim Qassim ateuliwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 29, 2024 10:52Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati hiyo ya mapambano baada ya mtangulizi wake Sayyid Hassan Nasrullah kuuawa shahidi katika hujuma ya Israel kusini mwa Beirut, mwezi uliopita.