-
Maombolezo ya Imam Askari (AS) Hadi Mapambazuko ya Matumaini
Aug 20, 2026 06:26Tarehe 8 na 9 za mwezi wa Rabiul al-Awwal ni siku mbili zinazofuatana katika kalenda ya Waislamu wa madhehebu ya Shia: Moja huwa ni siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hassan al-Askari (AS), na nyingine huashiria kuanza uongozi wa Imam wa Zama (AS).