-
Iran ilivyofanikiwa kuvunja mtandao wa mawasiliano ya kigaidi kwa kukata intaneti
Jan 28, 2026 08:00Iran ilifanikiwa kuvuruga na hatimaye kuvunja mtandao wa mawasiliano wa makundi ya kigaidi na washirika wao wa nje kwa hatua ya kukata intaneti wakati wa machafuko ya Januari 2026.
-
Ufaransa kupiga marufuku mitandao kwa walio chini ya miaka 15, kwenda na simu skuli za sekondari
Jan 01, 2026 05:41Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu za mkononi katika skuli za sekondari.