Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Aug 08, 2022 02:58

    Umoja wa Afrika (AU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.

  • Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

    Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri

    Aug 08, 2022 02:54

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.

  • Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina

    Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina

    Aug 07, 2022 01:25

    Ijumaa alasiri, jeshil la utawala wa kigaidi wa Israel lilitekeleza jinai kubwa dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulizi yaliyopewa jina la "Operesheni ya Alfajiri", katika maeneo yanayodhibitiwa na harakati ya Palestina ya Jihad Islami katika Ukanda wa Gaza.

  • Israel yaruhusiwa kujenga ubalozi Morocco licha ya pingamizi la wananchi

    Israel yaruhusiwa kujenga ubalozi Morocco licha ya pingamizi la wananchi

    Aug 03, 2022 07:34

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umedai kuwa umesaini mkataba wa kuuruhusu ujenge ubalozi nchini Morocco, licha ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo pandikizi.

  • Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah

    Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah

    Jul 26, 2022 03:17

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini.

  • Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

    Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

    Jul 24, 2022 03:14

    Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni majasusi kadhaa waliokuwa wakitumikia shirika la ujasusi la Israel (Mossad).

  • Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi

    Jul 24, 2022 03:08

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine 19 katika miji ya Nablus na Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.

  • Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

    Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

    Jul 22, 2022 02:41

    Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus.

  • Kan'ani: Israe haina ubavu wala uthubutu wa kuikabili Iran kijeshi

    Kan'ani: Israe haina ubavu wala uthubutu wa kuikabili Iran kijeshi

    Jul 19, 2022 21:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel hauna ubavu wala ujasiri wa kuingia katika makabiliano ya kijeshi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Amir wa Qatar: Israel ndio chanzo kikuu cha mivutano katika eneo la Asia Magharibi

    Amir wa Qatar: Israel ndio chanzo kikuu cha mivutano katika eneo la Asia Magharibi

    Jul 17, 2022 22:01

    Amir wa Qatar ameitaja Israel kuwa ndio chanzo kikuu cha mizozo katika eneo la Asia Magharibi, akisema machafuko na hali ya kutokuwepo utulivu itaendelea katika eneo hilo isipokuwa utawala ghasibu wa Israel utakapokoma kukiuka sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS