Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi

    Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi

    Dec 10, 2021 23:16

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, mpango wa Marekani na Israel wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ni hatari kwa usalama na utulivu wa eneo nyeti la Asia Magharibi.

  • Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni

    Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni

    Dec 09, 2021 06:19

    Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu.

  • HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel

    HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel

    Dec 06, 2021 03:40

    Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kukaribisha kwa mikono miwili hatua ya serikali ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo.

  • Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa  Magharibi

    Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi

    Nov 30, 2021 01:00

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.

  • Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel

    Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel

    Nov 28, 2021 08:29

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mpango wa Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog wa kuutembelea Mstikiti wa Ibrahim kusini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Poland yapunguza uhusiano wake wa kidiplomasia na Israel

    Poland yapunguza uhusiano wake wa kidiplomasia na Israel

    Nov 27, 2021 01:08

    Poland imepunguza kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel, ikisisitiza kuwa serikali ya Warsaw haina mpango wa kutuma balozi mwingine katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Huduma mpya ya London kwa Tel Aviv kwa kuituhumu Hamas kuwa ni kundi la kigaidi

    Huduma mpya ya London kwa Tel Aviv kwa kuituhumu Hamas kuwa ni kundi la kigaidi

    Nov 21, 2021 06:38

    Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Mwanadiplomasia: Lengo la Marekani kuasisi makundi ya kigaidi ni kudhamini usalama wa Israel

    Mwanadiplomasia: Lengo la Marekani kuasisi makundi ya kigaidi ni kudhamini usalama wa Israel

    Nov 20, 2021 08:58

    Mwanadiplomasia wa zamani wa Iran amesema, lengo la Marekani la kuasisi makundi ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi hasa la DAESH (ISIS) ni kuvuruga uthabiti katika nchi zaWaislamu na kuzidhoofisha nchi zinazoupinga utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kudhamini usalama wa utawala huo.

  • Malengo ya kisiasa ya mazoezi ya kijeshi ya Israel na nchi kadhaa za Kiarabu

    Malengo ya kisiasa ya mazoezi ya kijeshi ya Israel na nchi kadhaa za Kiarabu

    Nov 15, 2021 23:00

    Mazoezi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yameongezeka sana katika siku za karibuni. Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, mazoezi hayo ya kijeshi ni kielelezo cha wasiwasi wa usalama wa Israel na woga wa utawala huo kutokana na kambi ya mapambano na kwamba yanafanyika kwa malengo ya kisiasa.

  • Afrika Kusini 'yamnawa' raia wake atakayeshiriki tamasha la ulimbwende Israel

    Afrika Kusini 'yamnawa' raia wake atakayeshiriki tamasha la ulimbwende Israel

    Nov 15, 2021 08:15

    Serikali ya Pretoria imejibari na uamuzi wa 'Bi Afrika Kusini' Lalela Mswane wa kukubali mwaliko wa kushiriki Tamasha la Ulimbwende linalotazamiwa kufanyika mwezi ujao huko Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS