-
Balozi wa Israel akimbilia usalama wake kutoka Chuo cha Uchumi cha London
Nov 11, 2021 05:20Malalamiko na hasira ya wanachuo na waungaji mkono wa taifa la Palestina katika Chuo cha Masuala ya Uchumi cha London imepelekea balozi wa utawala haramu wa Israel nchini Uingereza kukimbilia usalama wake kutoka kwenye chuo hicho.
-
Ngao ya ulinzi wa anga ya Syria yatungua makombora ya Wazayuni
Nov 09, 2021 04:44Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye maeneo ya pwani na katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina
Nov 09, 2021 04:40Shirika moja la kutetea haki za binadamu la Ulaya limefichua kuwa, programu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni ya Pegasus imetumika kuwachunguza na kuwafuatilia wafanyakazi wa asasi za kiraia za Kipalestina, hususan zilizowekwa kwenye eti ya orodha ya ugaidi ya Tel Aviv.
-
Ujumbe wa Israel uliitembelea Sudan baada ya mapinduzi
Nov 03, 2021 04:13Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jihad Islami yatishia kuingia katika vita vya moja kwa moja na Israel
Nov 03, 2021 00:03Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa itaanzisha vita silaha vya moja kwa moja dhidi ya utawala haramu wa Israel, iwapo utawala huo utaendelea kuwanyanyasa na kuwakandamiza wafungwa wa Kipalestina.
-
Hamaki za Israel hata kwa “ripoti isiyo na dhamana” ya Baraza la Haki za Binadamu la Umioja wa Mataifa
Nov 02, 2021 22:58Kitendo cha mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Gilad Erdan cha kurarua na kuchanachana kwa hasira ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo kuhusu jinai za utawala huo huko Palestina kimeonyesha wazi kwamba, utawala huo hauwezi kuvumilia hata ripoti ambazo kimsingi “hazina dhama ya utekelezwaji wake”.
-
Saudia katika njia ya kuimarisha uhusiano wake na utawala dhalimu wa Israel
Oct 29, 2021 23:14Gazeti la Kizayuni la Globes linalochapishwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mbavu - ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel - limeandika kuwa, kumefikiwa makubaliano mengi baina ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia kwa mashinikizo ya nchi mbili za Kiarabu za Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Ravanchi:Baraza la Usalama liilazimishe Israel ihitimishe kuikalia kwa mabavu Golan
Oct 28, 2021 11:15Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa Baraza la Usalama la umoja huo linalazimiika kutekeleze wajibu wake na kuulazimisha utawala wa Kizayuni wa Israel uache kuikalia kwa mabavu miinuko ya Golan na uvamizi dhidi ya Syria.
-
Wanawake 33 wa Kipalestina wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha Israel
Oct 26, 2021 04:30Shirika moja huru la kutetea haki za binadamu limesema makumi ya wanawake wa Palestina wanashikiliwa katika mazingira ya kuogofya na yasiyo ya kibinadamu na vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika gereza la Damon.
-
Ndege ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Saudia kutua Israel
Oct 25, 2021 07:47Kwa mara ya kwanza, ndege ya moja kwa moja kutoka Saudi Arabia inatazamiwa kutua usiku huu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.