Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Askari wanne wa utawala wa kizayuni waangamizwa, wanane wajeruhiwa kusini mwa Ghaza

    Askari wanne wa utawala wa kizayuni waangamizwa, wanane wajeruhiwa kusini mwa Ghaza

    Sep 18, 2025 07:12

    Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa wanajeshi wanne wa utawala wa kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine wanane wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu lililotegwa ardhini kusini mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Balozi wa Marekani Israel: Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli katika eneo la Mashariki ya Kati

    Balozi wa Marekani Israel: Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli katika eneo la Mashariki ya Kati

    Sep 18, 2025 06:42

    Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel, Mike Huckabee amesema, 'pamoja na Washington kuwa na washirika na marafiki kadhaa katika eneo la Mashariki ya Kati, "Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli."

  • Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel

    Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel

    Sep 16, 2025 04:12

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya Israel ya Septemba 9 dhidi ya Qatar yameonyesha kuwa hakuna nchi ya Kiarabu au ya Kiislamu iliyo salama kutokana na vitendo vya uchokozi vya utawala huo.

  • Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa

    Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa

    Sep 16, 2025 03:17

    Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la "kutengwa," wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa yanaongezeka dhidi ya vita vinavyoendelezwa na jeshi la kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na dhidi ya sera za serikali ya Netanyahu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali ya chuki na ubaguzi.

  • Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel

    Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel

    Sep 15, 2025 22:47

    Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza.

  • Kwa nini maandamano ya kupinga kuungwa mkono Israel yameongezeka barani Ulaya?

    Kwa nini maandamano ya kupinga kuungwa mkono Israel yameongezeka barani Ulaya?

    Sep 15, 2025 07:30

    Maelfu ya watu wamemiminika barabarani mjini Berlin kupinga sera za Ujerumani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • UNRWA: Sambamba na mauaji ya kimbari, Israel imeifanya Ghaza 'ardhi ya nyika' isiyofaa kuishi binadamu

    UNRWA: Sambamba na mauaji ya kimbari, Israel imeifanya Ghaza 'ardhi ya nyika' isiyofaa kuishi binadamu

    Sep 15, 2025 02:54

    Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umesema una wasi wasi mkubwa juu ya hali mbaya sana ya maisha katika Ukanda wa Ghaza sambamba na kushadidi mashambulizi ya mabomu na makombora yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.

  • Viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu wakutana Doha baada ya shambulio la Israel dhidi ya Qatar

    Viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu wakutana Doha baada ya shambulio la Israel dhidi ya Qatar

    Sep 14, 2025 07:38

    Viongozi wa mataifa ya Kiislamu na Kiarabu wanakutana katika mji mkuu wa Qatar, Doha kujadili jibu rasmi na la pamoja la kutoa kwa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Israel dhidi ya Doha wiki iliyopita, ambalo utawala huo wa kizayuni ulisema liliulenga uongozi wa harakati ya Hamas. Shamnbulio hilo limelaaniwa vikali katika eneo na kila pembe ya dunia.

  • Rais wa zamani wa Ireland: Nikiwa raia wa Ulaya 'naona aibu' kwa namna EU inavyoamiliana na Israel

    Rais wa zamani wa Ireland: Nikiwa raia wa Ulaya 'naona aibu' kwa namna EU inavyoamiliana na Israel

    Sep 14, 2025 07:32

    Rais wa zamani wa Ireland Mary Robinson amesema, "anaona aibu" kwa mjibizo ambao Umoja wa Ulaya (EU) umeonyesha kwa vita vinavyoendelezwa na Israel huko Ghaza, na akaukosoa umoja huo kwa kushindwa kusimamisha makubaliano yake ya kibiashara na utawala huo wa kizayuni licha ya wito uliotolewa wa kuutaka ufanye hivyo.

  • Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki

    Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki

    Sep 14, 2025 07:18

    Waziri wa Nishati wa utawala wa kizayuni wa Israel, Eli Cohen ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Usalama na Kisiasa, amesema, upo uwezekano wa kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS walioko Istanbul, Uturuki, na amedai pia katika mahojiano aliyofanyiwa jana Jumamosi na tovuti ya Saudi Elaf kwamba "mtu yeyote anayehusishwa na Hamas hawezi kulala kwa amani popote duniani."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS