Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mahakama ya Shirikisho ya Marekani: Israel imeshiriki wazi katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Mahakama ya Shirikisho ya Marekani: Israel imeshiriki wazi katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Feb 01, 2024 23:07

    Mahakama ya Shirikisho nchini Marekani imebaini kuwa utawala ghasibu wa Israel umeshiriki wazi katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza na imeitaka ikulu ya nchi hiyo White House kuchunguza uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala huo. Haya yameelezwa na kundi la utetezi wa kisheria lenye makao yake mjini New York. 

  • Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Jan 30, 2024 23:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Marekani inajua vyema kwamba ni suluhisho la kisiasa pekee ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kumaliza mgogoro unaoikumba Asia Magharibi.

  • Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Jan 29, 2024 03:34

    Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.

  • HAMAS: Netanyahu anataka kurefusha vita vya Gaza kwa malengo ya kisiasa

    HAMAS: Netanyahu anataka kurefusha vita vya Gaza kwa malengo ya kisiasa

    Jan 28, 2024 23:34

    Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama linataka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, lakini Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka vita hivyo viendelee kutokana na sababu zake binafsi na za kisiasa.

  • WSJ: 80% ya handaki za HAMAS huko Gaza zingali zinafanya kazi

    WSJ: 80% ya handaki za HAMAS huko Gaza zingali zinafanya kazi

    Jan 28, 2024 09:55

    Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, asilimia 80 ya njia za chini kwa chini za Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza zingali zinafanya kazi, licha ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa, tokea Oktoba 7, 2023.

  • Israel yapuuza amri ya ICJ, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza

    Israel yapuuza amri ya ICJ, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza

    Jan 27, 2024 08:22

    Utawala haramu wa Israel umedharau uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka uchukue hatua zote zinazohitajika kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, na badala yake jeshi la utawala huo pandikizi limeendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Gaza.

  • Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza

    Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza

    Jan 26, 2024 23:09

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru Israel iache vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, na kuchukua hatua za kuwasaidia raia.

  • Afrika Kusini: Tunataraji ICJ itatoa hukumu ya kesi dhidi ya Israel Ijumaa

    Afrika Kusini: Tunataraji ICJ itatoa hukumu ya kesi dhidi ya Israel Ijumaa

    Jan 24, 2024 23:58

    Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa ijayo.

  • Palestina: Kwa siku 108, Israel imeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 Gaza

    Palestina: Kwa siku 108, Israel imeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 Gaza

    Jan 23, 2024 03:08

    Mamlaka za Palestina zimetangaza kuwa, jeshi vamizi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeua watoto 11,000 na wanawake 7,500 katika Ukanda wa Gaza na kuongeza kuwa jeshi hilo katili limedondosha zaidi ya tani 65,000 za mada za miripuko katika vita vya upande mmoja lilivyoanzisha dhidi ya Wapalestina waliowekewa mzingiro.

  • Axios: Israel imependekeza kwa HAMAS mpango mpya wa kubadilishana mateka

    Axios: Israel imependekeza kwa HAMAS mpango mpya wa kubadilishana mateka

    Jan 23, 2024 02:29

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umependekeza kwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mpango mpya wa kubadilishana mateka kupitia "usitishaji" mapigano kwa muda wa hadi siku 60 ili mateka wote waliosalia, ambao wanashikiliwa na harakati hiyo, waweze kuachiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS