-
ICC yabatilisha waranti wa kukamatwa mke wa aliyekuwa rais wa Kodivaa
Jul 30, 2021 12:41Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetupilia mbali waranti wa kukamatwa Simone Gbagbo, mke wa Laurent Gbagbo, rais wa zamani wa Ivory Coast.
-
Mahasimu wakuu wa kisiasa Ivory Coast Rais Ouattara na Laurent Gbagbo wakutana
Jul 27, 2021 15:02Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast leo alitazamiwa kukutana na kuzungumza na mtangulizi wake Laurent Gbagbo, ikiwa ni mara ya kwanza tangu vikosi vya wapiganaji watiifu kwao vilipopambana katika mapigano makubwa ya umwagaji damu yaliyosababishwa na mgogoro wa baada ya uchaguzi miaka 10 iliyopita.
-
Wanne wauawa katika shambulio dhidi ya ngome za vikosi vya ulinzi na usalama vya Ivory Coast
Mar 30, 2021 02:35Watu wanne wameuawa katika shambulio dhidi ya ngome za vikosi vya ulinzi na usalama vya Ivory Coast.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko afariki kwa saratini akiwa na umri wa miaka 56
Mar 11, 2021 07:18Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko amefariki dunia kwa maradhi ya saratani katika hospitali moja mjini Freiburg nchini Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.
-
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Nov 07, 2020 11:47Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.
-
Rais Ouattara ashinda uchaguzi wa urais Ivory Coast, wapinzani walisusia
Nov 04, 2020 00:16Rais Alassane Ouattara ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais nchini Ivory Coast huku wapinzani walioususia uchaguzi huo wakisema wataunda serikali ya mpito.
-
Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%
Nov 03, 2020 07:13Tume ya Uchaguzi ya Ivory Casot imemtangaza Rais wa sasa wa nchi hiyo, Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Waivory Coast wanachagua rais leo, hali inatajwa kuwa tete
Oct 31, 2020 11:59Mamilioni ya wananchi wa Ivory Coast wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura hii leo Jumamosi katika uchaguzi wa rais huku kukiwepo wasiwasi wa kutokea ghasia na machafuko makubwa baada ya kambi ya upinzani kutoa wito wa kususiwa uchaguzi huo.
-
Wapinzani Ivory Coast waitisha uasi wa kijamii kipinga muhula wa tatu wa Ouattara
Sep 21, 2020 11:18Wapinza wa serikali ya Ivory Coast wametoa wito wa kufanyika uasi wa kijamii kote nchini humo wakipinga azma ya rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ya kugombea tena kiti hicho kwsa muhula wa tatu.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 15, 2020 03:35Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.