-
Wapinzani Ivory Coast waitisha uasi wa kijamii kipinga muhula wa tatu wa Ouattara
Sep 21, 2020 07:48Wapinza wa serikali ya Ivory Coast wametoa wito wa kufanyika uasi wa kijamii kote nchini humo wakipinga azma ya rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ya kugombea tena kiti hicho kwsa muhula wa tatu.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 14, 2020 23:05Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
Wapinzani waendelea kupinga Ouattara kugombea tena urais Ivory Coast
Sep 09, 2020 07:11Wapinzani nchini Kodivaa wamendelea kupinga na kulalamikia hatua ya Rais Alassane Outtara ya kuamua kugombea tena urais nchini humo.
-
Watu wawili wauawa Ivory Coast baada Ouatarra kutangaza kugombea tena urais
Aug 24, 2020 02:45Watu wawili wameuwawa katika machafuko ya kikabila nchini Ivory Coast baada ya rais Alassane Ouattara kutangaza kwamba atawania muhula wa tatu madarakani.
-
Alassane Ouattara kugombea kiti cha urais Kodivaa kwa mara ya tatu
Aug 23, 2020 22:01Mkutano wa kumuarifisha Alassane Ouattara kama mgombea wa kiti cha rais katika uchaguzi ujao nchini Ivory Coast umefanyika katika mji wa nchi hiyo, Abdijan.
-
Wapinzani Ivory Coast waendelea kupinga “muhula wa tatu” urais cha Ouattara
Aug 15, 2020 05:34Makundi na vyama vya upinzani nchini Ivory Coast vimeendelea kupinga vikali uamuzi wa rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara wa kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu mfululizo.
-
Upinzani Ivory Coast: Muhula wa tatu wa urais wa Ouattara utaibua machafuko nchini
Aug 07, 2020 23:54Uamuzi wa Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu unakiuka katiba na utasababisha machafuko katika nchi hiyo ambayo bado inajikwamua kutoka kwenye vita vya ndani. Hayo yalielezwa jana Ijumaa na mrengo wa upinzani.
-
Ouattara ateuliwa na chama chake kuwani tena urais Ivory Coast
Jul 30, 2020 06:19Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ameteuliwa tena na chama chake kuwania urais kwa muhula wa tatu ingawa binafsi hajachukua uamuzi kuhusu jambo hilo.
-
Ivory Coast yamtia nguvuni kiongozi wa kundi lililofanya shambulizi la tarehe 10 Juni
Jun 22, 2020 21:59Ivory Coast imetangaza kuwa imemtia nguvuni mkuu wa kundi la makomando waliofanya shambulio la Juni 10 ambalo liliwauwa askari wasiopungua 10 kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu wasiopungua 13 wafariki dunia katika maporomoko ya udongo Ivory Coast
Jun 19, 2020 07:37Watu wasiopungua 13 wamefariki dunia na wengine wengi hawajulikani waliko kufuatia tukio la maporomoko ya udongo huko Anyama, katika moja ya viunga vya kaskazini mwa mji wa Abidjan, nchini Ivory Coast.