-
Kiongozi wa zamani wa waasi Ivory Coast atuhumiwa kwa njama ya mapinduzi
Dec 27, 2019 07:21Mwendesha Mashtaka wa serikali ya Ivory Coast amemtuhumu Guillaume Soro kiongozi wa zamani wa waasi nchini humo kwa kupanga njama ya mapinduzi; kitendo ambacho huenda kikampelekea mwanasiasa huyo kupigwa marufuku kugombea kiti cha urais mwakani.
-
Rais wa Ivory Coast: Nitagombea tena urais kwa muhula wa tatu ikiwa marais wa zamani pia watawania
Dec 01, 2019 13:01Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema, atawania tena urais kwa muhula wa tatu mfululizo endapo watangulizi wake pia wataamua kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huo utakaofanyika mwakani, na ambao unatajwa kama kipimo muhimu cha kutathmini uthabiti wa nchi hiyo baada ya kukumbwa na vita vya ndani mara mbili katika karne hii ya 21.
-
Rais wa Ivory Coast atoa mwito kwa wadau wa sekta ya uchumi Iran kuwekeza nchini humo
Nov 16, 2019 02:45Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametoa mwito kwa wadau wa sekta ya uchumi ya Iran kwenda kuwekeza nchini humo katika nyanja mbali mbali.
-
Rais wa Kodivaa (78): Nina hamu ya kukabidhi madaraka kwa vijana
Sep 30, 2019 02:37Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema ana hamu kubwa ya kukabidhi madaraka kwa kizazi cha sasa cha vijana katika uchaguzi wa rais wa mwakani.
-
51 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila katikati mwa Kodivaa
May 17, 2019 13:36Polisi ya Kodivaa (Ivory Coast) imeripoti kuwa watu 51 wameuawa na kujeruhiwa katikamapigano ya kikabila katikati mwa nchi hiyo.
-
Kodivaa kuongeza idadi ya askari wake wa kulinda amani nchini Mali
Apr 27, 2019 07:42Rais wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi yake itatuma mamia ya askari zaidi kwenda kujiunga na Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA).
-
ICC yamwachia huru rais wa zamani wa Kodivaa baada ya vuta nikuvute
Feb 02, 2019 12:44Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo baada ya vuta nikuvute kati ya mawakili wa mwanasiasa huyo na Waendesha Mashitaka wa ICC.
-
ICC kumuachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast kwa sharti
Feb 01, 2019 13:36Waendesha Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wamekubali ombi la kuachiwa huru rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo lakini kwa sharti kwamba asirejee katika nchi yake.
-
ICC yamuachiliwa huru rais wa zamani wa Kodivaa Laurent Gbagbo
Jan 15, 2019 14:33Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imemuondoa hatiani na kumuachilia huru rais wa zamani wa Kodivaa Laurent Gbabgo ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za kuhusika katika ghasia za baada ya uchaguzi katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Majaji wa mahakama ya ICC wasikiliza kesi ya Gbagbo
Oct 01, 2018 14:52Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) leo wamesikiliza matakwa ya Rais wa zamani wa Ivory Coast anayekabiliwa na kesi ya kufanya jinai dhidi ya binadamu ambaye ametaka kesi hiyo ifungwe kutokana na kukosekana ushahidi dhidi yake.