-
Serikali na wapinzani nchini Ivory Coast wazidi kuvutana kuhusu uchaguzi
Sep 19, 2018 14:36Mivutano baina ya serikali ya Ivory Coast na wapinzani wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kuhusiana na marekebisho katika Kamisheni Huru ya Uchaguzi imezidi kuongezeka.
-
Rais wa Ivory Coast atoa msamaha kwa wafungwa 800 wa kisiasa
Aug 07, 2018 14:35Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza msamaha kwa wafungwa wapatao 800 wa kisiasa ikiwa imesalia miaka miwili kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi.
-
Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jul 10, 2018 07:06Balozi wa Iran nchini Ivory Coast amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi hususan katika nyuga za diplomasia na siasa.
-
18 wafariki dunia katika mafuriko Ivory Coast
Jun 20, 2018 16:33Watu 18 wamefariki dunia katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan katika mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali.
-
Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 09, 2018 17:10Balozi wa Iran nchini Ivory Coast ameonana na Spika wa Bunge la Senate la nchi hiyo na kujadiliana naye njia za kuimarishwa uhusiano baina ya mabunge ya nchi hizi mbili.
-
Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu
Jun 05, 2018 03:07Muungano wa upinzani nchini Ivory Coast umesema hautaruhusu mpango wowote wa kumruhusu Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo kugombea muhula wa tatu.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yafanyika Ivory Coast
Feb 14, 2018 02:54Sherehe zilizofana za kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran zimefanyika katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 17, 2018 14:53Wawakilishi wa nchi za Kiafrika za Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco wamesisitiza katika Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kupatiwa ufumbuzi matatizo yanayoukabili Ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana pia na utawala ghasibu za Kizayuni.
-
Askari wa Côte d’Ivoire waendeleza uasi licha ya mkuu wa jeshi kuwaomba radhi
Jan 12, 2018 04:49Askari wa Côte d’Ivoire wameendeleza ghasia licha ya mkuu wa majeshi ya nchi hiyo kuwaomba radhi.
-
Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali
Jan 05, 2018 08:01Mkuu wa majeshi ya Ivory Coast ametangaza utayari wa jeshi hilo wa kushirikiana na serikali ya nchi hiyo.