-
Mahakama ya ICC yakataa kumwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast
Sep 28, 2017 03:04Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa wito wa kumwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast.
-
Wafungwa karibu mia moja watoroka jela Ivory Coast
Sep 04, 2017 06:05Wafungwa wapatao mia moja wameripotiwa kutoroka jela nchini Ivory Coast.
-
Mabadiliko ya ghafla ya mawaziri nchini Kodivaa
Jul 20, 2017 07:47Rais Alassane Ouattara wa ivory coast amefanya mabadiliko ya ghafla katika baraza lake la mawaziri.
-
Ivory Coast na changamoto ya usalama kabla ya michezo ya Francophone
Jul 20, 2017 03:41Maeneo mbalimbali ya Ivory Coast yameendelea kusumbuliwa na machafuko na hali ya ukosefu wa amani siku moja tu kabla ya kuanza mashindano ya michezo ya nchi wanachama katika jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa, Francophone.
-
Wanajeshi watatu wauawa katika uasi jeshini Ivory Coast
Jul 16, 2017 06:55Wanajeshi watatu wameuawa katika uasi mpya ulioibuka katika jeshi la Ivory Coast.
-
Saudia yashindwa kuishawishi OIC kutoa azimio dhidi ya Iran
Jul 15, 2017 02:33Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kisiasa na Usalama wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, pendekezo la Saudia la kuingizwa kipengee cha kuilaani Iran katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC limetupiliwa mbali na wajumbe wa kikao hicho.
-
Sisitizo la Ufaransa na Ivory Coast la kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 12, 2017 10:53Marais Alassane Ouattara wa Ivory Coast na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesisitiza katika mazungumzo yao ya kwanza tangu Rais huyo mpya wa Ufaransa aliposhika hatamu za uongozi juu ya umuhimu wa kuimarisishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kiusalama.
-
Kuendelea vurugu na mivutano nchini Ivory Coast
May 16, 2017 12:51Sambamba na kuendelea mapigano na vitisho vya wanajeshi waasi katika miji kadhaa nchini Ivory Coast, shughuli za benki, shule na vituo vya biashara zimesitishwa katika miji kadhaa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Hatimaye serikali ya Côte d’Ivoire yakubaliana na askari waasi
May 16, 2017 08:23Viongozi wa serikali ya Côte d’Ivoire wametangaza kufikiwa makubaliano na askari waasi wa nchi hiyo.
-
Baraza la Usalama wa Taifa Ivory Coast laitisha kikao cha dharura kufuatia uasi wa wanajeshi
May 13, 2017 02:32Baraza la Usalama wa Taifa la Ivory Coast limefanya kikao cha dharura kufuatia kushadidi fujo zilizosababishwa na uasi wa wanajeshi.