-
Ivory Coast yaiomba Iran iisaidie kuimarisha sekta ya uchukuzi
May 09, 2017 14:22Waziri wa Uchukuzi wa Ivory Coast, Amadou Kone ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iisaidie nchi hiyo ya Kiafrika kuboresha mfumo wake wa uchukuzi wa umma.
-
Mawaziri wa uchumi na Fedha wa nchi za ukanda wa Franc CFA wafanya kikao Kodivaa
Apr 14, 2017 15:00Mawaziri wa Uchumi na Fedha wa nchi za Ukanda wa Franc CFA, wamekutana mjini Abidjan, Kodivaa kujadili changamoto zinazoikabili sarafu hiyo.
-
Katibu Mkuu wa OIC aonana na Rais wa Kodivaa
Mar 17, 2017 03:54Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC ameonana na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast na pande mbili zimejadiliana masuala ya kieneo na njia za kupambana na misimamo ya kuchupa mipaka.
-
Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wao wa pande mbili
Mar 11, 2017 06:25Mansour Shakib-Mehr, Balozi wa Iran nchini Ivory Coast amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga za uchumi, diplomasia na siasa.
-
Kuanza kuondoka askari jeshi wa kudumimisha amani wa UN nchini Kodivaa
Feb 11, 2017 13:24Licha ya kuendelea ukosefu wa amani huko Kodivaa katika wiki za hivi karibuni, wanajeshi wa kudumisha amani wa kofia bluu wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa wataondoka nchini humo kwa mujibu wa jedwali la muda ulioainishwa.
-
Wanajeshi wa UN waondoka Kodivaa
Feb 10, 2017 15:45Wanajeshi wa kofia bluu wa Umoja wa Mataifa wanaondoka huko Kodivaa licha ya nchi hiyo kuathiriwa na ukosefu wa amani.
-
Uasi wa jeshi waanza tena Ivory Coast, mara hii katika mji wa Adiaké
Feb 08, 2017 14:51Wanajeshi wa Ivory Coast wamenzisha tena uasi dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Wasiwasi watanda mji mkuu wa Côte d’Ivoire kutokana na tishio la askari waasi
Jan 28, 2017 13:57Uasi wa askari katika mji mkuu wa Côte d’Ivoire, Yamoussoukro umewafanya wakazi wa mji huo kupatwa na wasi wasi mkubwa.
-
Serikali Ivory Coast: Mgomo wa wafanyakazi uhitimishwe ili tuimarishe uchumi
Jan 26, 2017 07:57Serikali ya Côte d’Ivoire imewataka wafanyakazi wake kuhitimisha mgomo wao mara moja sanjari na kurejea kazini.
-
Kulemazwa Ivory Coast na migomo inayoendelea nchini humo
Jan 24, 2017 13:49Kuendelea mgogoro nchini Ivory Coast na kuanza migomo ya wafanyakazi wa matabaka mbalimbali kumeifanya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ilemazwe kutokana na kukosekana huduma nyingi kulikosababishwa na kufungwa baadhi ya idara.