-
Milio ya risasi yasikika katika mji uliokumbwa na machafuko wa Bouaké, Côte d’Ivoire
Jan 13, 2017 15:01Milio ya risasi imesikika katika mji uliokumbwa na hali ya mchafukoge wa Bouaké, huko kaskazini mwa Côte d’Ivoire.
-
Kuendelea mgogoro wa Ivory Coast
Jan 11, 2017 05:02Kufuatia mivutano ya kisiasa na kiusalama ya hivi karibuni nchini Ivory Coast Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo amewafuta kazi wakuu wa jeshi na polisi ya nchi hiyo.
-
Aliyekuwa Waziri Mkuu ateuliwa Makamu wa Rais wa Ivory Coast
Jan 10, 2017 16:30Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amemteua aliyekuwa Waziri Mkuu Daniel Kablan Duncan kuwa Makamu wa Rais, cheo kipya ambacho kimeundwa kupitia katiba mpya ya nchi hiyo iliyopitishwa kwa Kura ya Maoni iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu na kuvuja serikali, Rais kuhutubia Bunge
Jan 10, 2017 08:10Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kutangaza kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa Katiba mpya ya nchi na uchaguzi wa Bunge uliofanyika mwezi uliopita wa Disemba 2016.
-
Kurejea utulivu Côte d’Ivoire na ahadi za Rais Alassane Ouattara
Jan 09, 2017 04:32Hatimaye utulivu umerejea kwa kiasi fulani nchini Côte d’Ivoire kufuatia mgogoro wa kisiasa na kiusalama wa siku kadhaa baada ya rais wa nchi hiyo kukubali matakwa ya askari waasi na kuachiliwa huru Waziri wa Ulinzi aliyekuwa anashikiliwa na kundi hilo.
-
Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamuachilia huru Waziri wa Ulinzi
Jan 08, 2017 08:06Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamemuachilia huru Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo leo asubuhi, baada ya kumshikilia kwa masaa machache katika makazi yake.
-
Wanajeshi wazidi kuhatarisha hali ya mji wa Abidjan, Ivory Coast
Jan 07, 2017 15:55Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika mji mkubwa wa kibiashara wa Abidjan nchini Kodiva kufuatia askari wanaopinga kiwango kidogo cha mshahara kufyatua risasi ovyo mjini humo.
-
Wasiwasi wa kutokea mapinduzi Ivory Coast watanda baada ya wanajeshi kudhibiti mji wa Bouake
Jan 06, 2017 13:53Wasiwasi wa kutokea mapinduzi nchini Ivory Coast umetanda kote nchini humo baada ya wanajeshi wa zamani kudhibiti mji wa kaskazini wa Bouake.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu wafanyika Ivory Coast
Dec 05, 2016 15:00Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Kiislamu umefanyika nchini Ivory Coast ukiwashirikisha wahadhiri wa vyuo vikuu, wanachuo na wanafunzi wa shule za Kiislamu nchini humo mjini Abidjan.
-
Sisitizo la udharura wa kuweko umoja kati ya Waislamu
Nov 07, 2016 04:17Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahul Bayt AS amesistiza kuhusu udharura wa kuimarishwa umoja wa Waislamu duniani.