-
Kuendelea mageuzi ya kisiasa nchini Ivory Coast
Nov 04, 2016 16:05Kufuatia kufanyika Kura ya Maoni ya marekebisho ya Katiba ya Ivory Coast, serikali ya nchi hiyo imetangaza tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.
-
Upinzani: Matokeo ya kura ya maoni Kodivaa ni bandia
Nov 02, 2016 14:23Wapinzani nchini Ivory Coast wamepuuzilia mbali matokeo ya kura ya maoni ya kupitisha au kukataa katiba mpya ya nchi na kusema kuwa matokeo hayo ni bandia na ambayo hayaakisi sauti ya wananchi walio wengi.
-
Machafuko na mahudhurio madogo yagubika kura ya maoni ya Katiba ya Ivory Coast
Oct 31, 2016 07:38Machafuko yalitokea jana katika vituo vipatavyo 100 vya upigaji kura nchini Ivory Coast wakati wananchi waliposhiriki kwenye Kura ya Maoni ya kupitisha au kuikataa katiba mpya iliyopendekezwa ambayo Rais wa nchi hiyo Alassane Ouattara amesema itahakikisha amani inarejea baada ya miaka kadhaa ya machafuko ya kisiasa.
-
Kodivaa washiriki kura ya maoni kuainisha katiba mpya
Oct 30, 2016 15:18Wapiga kura nchini Kodivaa (Ivory Coast) leo wameshiriki katika kura ya maoni ya kuamua iwapo katiba mpya ya nchi hiyo iidhinishwe au la huku wapinzani wakitaka kususiwa kura hiyo.
-
Iran inalenga kuimarisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika
Oct 17, 2016 15:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika ni msingi muhimu wa sera za kigeni za Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mawaziri wa Benin, Kodivaa
Oct 16, 2016 13:47Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ivory Coast wamekutana na kufanya mazungumzo mjini Tehran.
-
Wahanga wa machafuko ya baada ya uchaguzi Kodivaa walipwa fidia
Sep 15, 2016 07:25Waziri wa Masuala ya Mshikamano wa Kijamii wa Ivory Coast amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo itaendelea kuwalipa fidia wahanga wa machafuko ya baada ya uchaguzi wa nchi hiyo.
-
Askari walioshirikiana na al-Qaeda Kodivaa wafungwa miaka 10 jela
Aug 05, 2016 13:46Askari wawili wa Ivory Coast wamehukumiwa kifungo cha miaka kumi jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kushirikiana na kuwa na mafungumano na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Qaeda.
-
Wakodivari wanataka mabadiliko ya Katiba
Jun 25, 2016 13:09Jumuiya za kiraia nchini Ivory Coast zimeafiki suala la kufanyika marekebisho ya katiba ya nchi hiyo kwa ajili ya kutayarisha mazingira ya kufanyika uchaguzi sahihi nchini kote.
-
Ivory Coast yasisitiza, Uislamu ni dini ya amani
Jun 17, 2016 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Ivory Coast ametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kusema kuwa Uislamu ni dini ya amani na suluhu.