-
Umoja wa Mataifa wataka juhudi zaidi kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia Kodivaa
Jun 02, 2016 04:07Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameishukuru serikali ya Ivory Coast kwa juhudi zake za kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia na kutaka juhudi zaidi ziongezwe katika uwanja huo.
-
Mahakama ya Kodivaa yaanza kusikiliza kesi dhidi ya mke wa Gbagbo
Jun 01, 2016 07:38Mahakama moja nchini Kodivaa imeanza kusikiliza kesi ya jinai za kivita inayomkabili Simone Gbagbo, mke wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Kodivaa yamkamata mshukiwa wa ulipuaji bomu hoteli ya Grand Bassam
May 27, 2016 07:54Wakuu wa Kodivaa wamesema wamemkamata mtu anayeshukiwa kusafirisha silaha zilizotumika katika hujuma ya kigaidi ilyopelekea watu 19 kuuawa katika hoteli moja ya kifahari ya Grand Bassam nchini humo.
-
Mahakama ya Burkina Faso yasisitizia kutekelezwa hukumu ya kutiwa mbaroni Blaise Compaoré
May 03, 2016 03:59Mahakama ya kijeshi ya Burkina Faso imesema kuwa, hukumu ya kutiwa mbaroni rais wa zamani wa nchi hiyo, Blaise Compaoré na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Guillaume Soro, lazima itatekelezwa.
-
Kodivaa yawarejesha nyumbani raia wake kutoka Gabon
Apr 30, 2016 04:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Ivory Coast imetangaza kuwa, imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 100 kutoka Gabon kutokana na kuwa na hali mbaya za kimaisha.
-
Wakimbizi raia wa Ivory Coast watakiwa kurejea nchini kwao
Apr 14, 2016 03:41Serikali ya Ivory Coast imewataka raia wa nchi hiyo ambao wamekimbilia katika nchi jirani na kuomba hifadhi ya ukimbizi kurejea nchini kwao.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Ivory Coast
Mar 15, 2016 15:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi ya hivi karibuni iliyosababisha watu 19 kuuawa nchini Ivory Coast.
-
Magaidi wa Al Qaeda walilewa kabla ya kuvamia Kodivaa
Mar 15, 2016 15:17Magaidi wa Al Qaeda waliingia katika baa moja na kunywa pombe kabla ya kuanza kufyatua risasi kiholela katika eneo la kitalii kwenye ufukwe wa bahari nchini Ivory Coast ambapo watu wasiopungua 18 waliuawa katika mji wa Grand-Bassam.