-
Rais Rouhani: Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko huko nyuma
Dec 16, 2020 07:52Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Khatibzadeh: Ajenda ya leo ya Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA ni kuchunguza mchakato wa utekelezaji wa majukumu
Dec 16, 2020 04:17Msemaji wa Wizara ya Mambo yaNje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameeleza kuwa, Kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Mapatano ya JCPOA ni kati ya vikao vya kawaida vya kuchunguza mchakato wa utekelezaji wa mapatano ya JCPOA na masuala yanayozikwamisha pande nyingine husika za mapatano kutekeleza ahadi na majukumu yao.
-
Katibu Mkuu wa Arab League atoa bwabwaja nyingine dhidi ya Iran na Uturuki
Dec 08, 2020 03:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amepayuka tena dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, katika hotuba yake mbele ya wanachuo mjini Cairo Misri.
-
Khatibzadeh: Misimamo ya Iran kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haitabadilika
Dec 07, 2020 08:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa,misimamo ya Tehran kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haitabadilika.
-
Indhari ya Zarif; kivuli kizito cha sheria ya bunge la Iran kwa pande shiriki katika mapatano ya JCPOA
Dec 05, 2020 06:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sheria ya hatua za kistratejia kwa ajili ya kuondoa vikwazo itatekelezwa iwapo pande shiriki katika mapatano ya JCPOA hazitatekeleza majukumu yao.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU akiri kuwa Troika ya Ulaya na Marekani zimehalifu ahadi zao katika JCPOA
Dec 04, 2020 04:26Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa Troika ya umoja huo na Marekani zimehalifu ahadi na hazikutekeleza majukumu yao katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Madai ya kukaririwa ya Ulaya kuunga mkono JCPOA; nara tupu zisizofungamana na vitendo
Dec 03, 2020 20:45Licha ya kuwa baada ya kujitoa marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama JCPOA, nchi za Ulaya zimekuwa na utendaji hasi na dhaifu katika kulinda na kutekeleza ahadi zao kuhusu mapatano hayo, lakini zingali zinadai kwamba zinaendelea kuyalinda.
-
Kikao kijacho UN ni cha kadhia ya nyuklia ya Iran, A/Kusini ndiye mwenyekiti
Dec 02, 2020 03:41Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kuitisha kikao maalumu cha kujadili makubaliano ya nyuklia ya Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Disemba.
-
Serikali ya Trump yazidi kutoa vitisho kuhusu uwezekano wa Marekani kurejea katika JCPOA
Nov 26, 2020 22:59Mshauri wa Usalama wa Taifa wa serikali ya Donald Trump huko White House ameendelea kutoa vitisho alivyodai ni vya hatari ya Marekani kurejea katika mapatano ya kimataifa ya JCPOA.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 08:48Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.