-
Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA
Jan 11, 2020 01:21Umoja wa Ulaya sambamba na nchi tatu za Ulaya za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zinazojulikana kama Troika ya Ulaya, ni waungaji mkono wa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Uingereza yakataa ombi la Trump la kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 09, 2020 04:32Serikali ya Uingereza imekataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema makubaliano hayo yana umuhimu kwa London katika upande wa masuala ya kiusalama.
-
Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Jan 03, 2020 02:33Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.
-
Madai ya kipuuzi ya Marekani kuhusu kushadidisha vikwazo dhidi ya Iran
Dec 31, 2019 23:20Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imeiwekea Iran vikwazo vikali ikiwa ni katika kutekeleza siasa zake za mashinikizo ya kiwango cha juuu kabisa.
-
Iran na China zajadili njia za kuinusuru JCPOA
Dec 31, 2019 04:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamekutana mjini Beijing na kujadiliana juu ya njia na mikakati ya kuyanusuru makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sayyid Abbas Araqchi: Mashauriano baina ya Iran na Japan yataendelea
Dec 21, 2019 10:07Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwa, mashauriano ya kisiasa kati ya Iran na Japan yataendelea.
-
Sisistizo la Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU kuhusu kulindwa JCPOA, akiri Iran imefungamana na mapatano hayo
Dec 17, 2019 04:38Umoja wa Ulaya, na nchi tatu muhimu za umoja huo yaani Uingereza, Ufaransa na Ujerumani maarufu kama Troika ya Ulaya, zilikuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mpatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalifikiwa mwaka 2015.
-
Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231
Dec 13, 2019 05:33Rais Donald Trump wa Marekani ni mpinazni mkali wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) akiyataja kuwa ni mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya Marekani.
-
Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington
Dec 11, 2019 22:46Uhusiano wa Marekani na Russia hususan baada ya kuibuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, unashuhudia mivutano mingi ambapo Washington mbali na kukabiliana na Moscow katika uga wa masuala ya kiusalama, kijeshi na kisiasa pia imeiwekea mashinikizo makali Russia katika nyuga tofauti za kisiasa, kidiplomasia, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, mauzo ya silaha na nishati.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zitekeleze majukumu yao katika mapatano ya nyuklia
Dec 09, 2019 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijaridhishwa na kiwango ambacho nchi za Umoja wa Ulaya zinatekeleza mapatano ya nyuklia ya JCPOA."