Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Rais Rouhani: Iran itatekeleza awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA

    Rais Rouhani: Iran itatekeleza awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA

    Sep 04, 2019 08:41

    Rais Hassan Rouhani amesema, mazungumzo na nchi za Ulaya bado hayajafikia mwafaka kamili; na kwa msingi huo Iran itachukua hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Araqchi: Iran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya JCPOA

    Araqchi: Iran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya JCPOA

    Sep 04, 2019 03:26

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Tehran inaamini kwamba hakuna mazungumzo mengine kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, lakini yanaweza kuweko mazungumzo kuhusu utekelezaji kamili wa yaliyoafikiwa ndani ya mapatano hayo.

  • Zarif: Iran itachukua hatua ya tatu ndani ya JCPOA kama ilivyopangwa hapo awali

    Zarif: Iran itachukua hatua ya tatu ndani ya JCPOA kama ilivyopangwa hapo awali

    Sep 02, 2019 22:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua ya tatu ya kupunguza utekelezaji wa majukumu yake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama ilivyopangwa hapo awali na kwamba iwapo nchi za Ulaya hazitatekeleza majukumu yao ndani ya makubaliano hayo, Iran itatekeleza hatua hiyo ya tatu.

  • Rabiei: Stratejia ya Iran katika JCPOA ni pande zote mbili kuwajibika kwa kiwango sawa

    Rabiei: Stratejia ya Iran katika JCPOA ni pande zote mbili kuwajibika kwa kiwango sawa

    Sep 02, 2019 08:47

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwajibika kwa kiwango sawa pande zote mbili katika kutekeleza majukumu, ndio stratejia na mkakati unaotumiwa na Tehran katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na akaongeza kuwa: Ikiwa Ulaya itatekeleza majukumu yake katika JCPOA, Iran nayo itarejea kwenye utekelezaji kamili wa makubaliano hayo.

  • Mousavi: Awamu ya tatu ya kupunguza Iran uwajibikaji wake kwenye JCPOA iko tayari kutekelezwa

    Mousavi: Awamu ya tatu ya kupunguza Iran uwajibikaji wake kwenye JCPOA iko tayari kutekelezwa

    Sep 02, 2019 03:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, awamu ya tatu ya kupunguza Jamhuri ya Kiislamu utekelezaji wa ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA iko tayari kutekelzwa na kusisitiza kuwa, kama juhudi za kidiplomasia za kuzuia jambo hilo hazitozaa matunda, Tehran bila ya shaka itaanza tu kutekeleza awamu hiyo ya tatu.

  • Zarif: Siku nne nyingine; muda wa kutangaza hatua ya tatu ya Iran ndani ya JCPOA

    Zarif: Siku nne nyingine; muda wa kutangaza hatua ya tatu ya Iran ndani ya JCPOA

    Sep 01, 2019 23:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa utekelezaji wa hatua ya tatu ya kupunguza ahadi na majukumu ya Iran kuhusiana na makubaliano ya JCPOA uko katika marhala ya mwisho ya uchukuaji maamuzi.

  • Sisitizo la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU juu ya kulinda makubaliano ya JCPOA na kuimarisha usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Sisitizo la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU juu ya kulinda makubaliano ya JCPOA na kuimarisha usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 31, 2019 07:40

    Umoja wa Ulaya pamoja na Troika ya Ulaya zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 mara kadhaa zimesisitiza kuwa kuna udharura wa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na wakati huo huo kurejesha uthabiti na usalama katika Ghuba ya Uajemi kwa kuzingatia chokochoko za Marekani katika eneo hilo la maji lenye umuhimu wa kijio-stratejia.

  • Zarif:  Lazima Marekani isitishe ugaidi wa kiuchumi na irejee JCPOA, kabla ya mazungumzo

    Zarif: Lazima Marekani isitishe ugaidi wa kiuchumi na irejee JCPOA, kabla ya mazungumzo

    Aug 30, 2019 03:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Marekani lazime irejee katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na isitishe ugaidi wake wa kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kabla ya kufanyika mazungumzo.

  • Kudumu kwa JCPOA kunategemea hatua za kivitendo za Ulaya, si kufanya mazungumzo na Marekani

    Kudumu kwa JCPOA kunategemea hatua za kivitendo za Ulaya, si kufanya mazungumzo na Marekani

    Aug 29, 2019 07:43

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaruhusu Marekani iyatumie vibaya kwa manufaa yake mazungumzo ya Iran na nchi za Ulaya.

  • Safari ambayo haikutarajiwa ya Zarif nchini Ufaransa; muendelezo wa mazungumzo, mara hii Bairritz

    Safari ambayo haikutarajiwa ya Zarif nchini Ufaransa; muendelezo wa mazungumzo, mara hii Bairritz

    Aug 26, 2019 08:58

    Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Jumapili alasiri alielekea Ufaransa katika safari ambayo haikuwa imetaraijiwa kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian kwa lengo la kuendelea na mazungumzo kuhusu ubunifu wa hivi karibuni wa marais wa Iran na Ufaransa kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS