-
Duru mpya ya mazungumzo ya Iran na EU kuanza leo
Feb 07, 2016 22:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya leo Jumatatu zinatazamiwa kuanza duru mpya ya mazungumzo, ikiwa ni ya kwanza tangu Tehran na kundi la 5+1 kufikia makubaliano ya nyuklia ya Vienna mwaka jana.