Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kamanda Soleimani

  • Kiongozi Muadhamu asalisha Sala ya Maiti ya Luteni Jenerali Soleimani na mashahidi wenzake + Video

    Kiongozi Muadhamu asalisha Sala ya Maiti ya Luteni Jenerali Soleimani na mashahidi wenzake + Video

    Jan 06, 2020 08:16

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi amesalisha Sala ya Maiti ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na mashahidi wenzake waliouliwa kigaidi na Marekani nchini Iraq, usiku wa kuamkia Ijumaa ya tarehe 3 Januari 2020.

  • Rouhani: Inabidi tusimame imara katika kukabiliana na uingiliaji wa Marekani

    Rouhani: Inabidi tusimame imara katika kukabiliana na uingiliaji wa Marekani

    Jan 06, 2020 08:15

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, usiku wa kuamkia leo amefanya mazungumzo ya simu na Rais Barham Salih wa Iraq na kusisitiza kuwa, ni jambo zito mno kwa mataifa makubwa ya Iran na Iraq kuweza kuvumilia mauaji ya kigaidi waliyofanyiwa Alhaj Qassem Soleimani, Abu Mahdi al Muhandis na wanamapambano wenzao waliokuwa wamefuatana nao.

  • Hatua ya kwanza nchini Iraq, mwanzo wa historia mpya magharibi mwa Asia

    Hatua ya kwanza nchini Iraq, mwanzo wa historia mpya magharibi mwa Asia

    Jan 06, 2020 08:15

    Bunge la Iraq jana lilipasisha muswada wa kuwafukuza askari wa Marekani nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya wito uliotolewa na wananchi, wanasiasa na makundi mbalimbali ya Iraq baada ya jeshi la Marekani kumuua kigaidi Jemedari Qassem Solaimani na naibu kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hashdul Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes.

  • Iran: Marekani ikitushambulia tutaingamiza Israel na kuifuta katika uso wa dunia

    Iran: Marekani ikitushambulia tutaingamiza Israel na kuifuta katika uso wa dunia

    Jan 06, 2020 08:14

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani; Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH kwamba, iwapo Marekani itatekeleza vitisho vinavyotolewa na Trump vya kuishambulia Iran, basi wawe na yakini kwamba miji ya Haifa na Tel Aviv na maeneo mengine muhimu ya Israel yataangamizwa kikamilifu na kusawazisha na ardhi.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Soleimani alikuwa mgeni wangu rasmi aliyekuja na ujumbe wa Saudi Arabia

    Waziri Mkuu wa Iraq: Soleimani alikuwa mgeni wangu rasmi aliyekuja na ujumbe wa Saudi Arabia

    Jan 06, 2020 08:13

    Kaimu Waziri Mkuu wa Iraq, Adel Abdul Mahdi amesema kuwa, Luteni Jenerali Qassem Soleimani alielekea nchini Iraq akiwa mgeni rasmi wa serikali na alikwenda na ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu mazungumzo.

  • Ismail Hania ametoka Ghaza kuja Tehran kushiriki maziko ya Kamanda Soleimani; asema Soleimani ni shahidi wa Quds + Video

    Ismail Hania ametoka Ghaza kuja Tehran kushiriki maziko ya Kamanda Soleimani; asema Soleimani ni shahidi wa Quds + Video

    Jan 06, 2020 08:13

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametilia mkazo wajibu wa kuendelea na muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa.

  • Kiongozi wa Russia: Jenerali Qassem Soleimani alikuwa shujaa wa ulimwengu wote wa Kiislamu

    Kiongozi wa Russia: Jenerali Qassem Soleimani alikuwa shujaa wa ulimwengu wote wa Kiislamu

    Jan 06, 2020 02:45

    Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa inayoitwa 'Umma Mmoja wa Kiislamu' nchini Russia amesema kuwa, Meja Jenerali Qassem Soleimani, hakuwa tu mtu wa Iran, Iraq au Syria, bali ni shakhsia wa Kiislamu na ulimwengu kwa ujumla.

  • Vitisho vipya vya Trump kutokana na wahka wa ulipizaji kisasi wa Iran

    Vitisho vipya vya Trump kutokana na wahka wa ulipizaji kisasi wa Iran

    Jan 06, 2020 02:43

    Hatua ya kijinai na iliyo kinyume cha sheria ya Marekani ya kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine huko mjini Baghdad, imekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Iran ambayo imesisitizia kulipiza kisasi kikali kwa Marekani.

  • Muqtada al-Sadr: Ubalozi na kambi zote za kijeshi za Marekani nchini Iraq zipigwe kufuli mara moja

    Muqtada al-Sadr: Ubalozi na kambi zote za kijeshi za Marekani nchini Iraq zipigwe kufuli mara moja

    Jan 05, 2020 16:26

    Muqtada al-Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ametoa ujumbe leo kwenda kwa spika wa bunge akitaka kupigwa kufuli ubalozi wa Marekani na kambi zake za kijeshi nchini humo.

  • Bunge la Iraq lapitisha mpango wa kuwatimua askari wa jeshi la Marekani walioko nchini humo + Video

    Bunge la Iraq lapitisha mpango wa kuwatimua askari wa jeshi la Marekani walioko nchini humo + Video

    Jan 05, 2020 16:18

    Bunge la Iraq limepiga kura na kupitisha mpango uliopendekezwa na wabunge wa kuhitimisha makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Marekani na kuwataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS