-
Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
Feb 16, 2020 02:48Tarehe tatu Januari mwaka huu wa 2020, rais wa Marekani, Donald Trump, alifanya jinai ya kutoa amri ya kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wanajihadi wenzake tisa karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad, huko Iraq.
-
Salami: Shahidi Soleimani ni mhuishaji wa jihadi na shahada katika ulimwengu wa Kiislamu
Feb 14, 2020 07:47Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amemtaja Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha SEPAH kama shakhsia aliyehuisha 'harakati za jihadi na kuuawa shahidi' katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
"Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"
Feb 14, 2020 03:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.
-
Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump
Feb 13, 2020 07:42Kanali mstaafu Lawrence Wilkerson, aliyekuwa pia mkuu wa ofisi ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Colin Powell amesema, jibu ililotoa Iran kwa mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani limempa somo na funzo rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mashambulio yoyote atakayofikiria kuyafanya siku za usoni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zarif: Shahidi Soleimani alikuwa dhihirisho la msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 12, 2020 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) kutazidisha azma na irada ya mhimili wa muqawama.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran
Feb 10, 2020 15:02Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni kitendo cha ugaidi dhidi ya taifa lote la Iran.
-
Velayati: Muamala wa Karne ni mpango wa kipumbavu; uwepo wa Marekani huko Syria na Iraq umefikia tamati
Feb 09, 2020 08:16Ali Akbar Velayati, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Muamala wa Karne ni mpango wa kipumbavu kwani Wamarekkani wamefanya biashara na kitu ambacho siyo miliki yao.
-
Waziri wa Ulinzi Iran: Adui ameondoa mezani chaguo la mazungumzo
Feb 04, 2020 13:51Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, adui ameondoa mezani chaguo la kufanya mazungumzo baada ya Marekani kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) sambamba na Iran kutoa jibu kali kwa ugaidi huo wa Washington.
-
Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq
Jan 31, 2020 07:05Baada ya kupita siku mbili tu tangu askari wa Marekani walipomuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la IRGC na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine walioandamana nao katika uwanja wa ndege wa Baghdad, tarehe 5 Januari, bunge la Iraq lilipitisha muswada wa kuwatimua askari wa muungano vamizi eti wa kupambana na Daesh (ISIS) wakiwemo askari wa Marekani.
-
Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran
Jan 26, 2020 03:20Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.