Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kikao

  • Ulyanov: Mafanikio ya awali yamepatikana katika kikao cha Vienna

    Ulyanov: Mafanikio ya awali yamepatikana katika kikao cha Vienna

    Apr 10, 2021 02:36

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna amesema kuwa kumepatikana mafanikio ya awali katika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika mji mkuu wa Austria.

  • Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran

    Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran

    Apr 08, 2021 08:07

    Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.

  • Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China

    Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China

    Mar 21, 2021 03:19

    Kushadidi mpambano baina ya Marekani na China tangu baada ya Joe Biden kushika hatamu za uongozi kumezifanya pande hizo mbili kuitisha kikao cha ngazi za juu ambacho kilifanyika Alkhamisi iliyopita katika eneo la Anchorage kwenye jimbo la Alaska.

  • Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia

    Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia

    Mar 14, 2021 02:34

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa ujumbe unaoiwakilisha serikali ya nchi hiyo utashiriki katika kikao cha amani kuhusu Afghanistan kilichopangwa kufanyika huko Moscow mji mkuu wa Russia.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen

    Mar 03, 2021 08:28

    Mnamo Machi 2015, Saudi Arabia, ikishirikiana kwa karibu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati), ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hivi sasa wakati vita hivyo vikiingia mwaka wa saba, nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu.

  • Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad

    Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad

    Feb 17, 2021 02:24

    Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.

  • Kikao cha Umoja wa Afrika na jitihada za kukomesha migogoro ya bara hilo

    Kikao cha Umoja wa Afrika na jitihada za kukomesha migogoro ya bara hilo

    Feb 07, 2021 12:21

    Kikao cha 34 cha viongozi wa nchi za Afrika wanachama katika Umoja wa Afrika (AU) kimefanyika kwa shabaha ya kujadili jinsi ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, njia bora za kukabiliana na virusi hivyo na jinsi ya kupunguza migogoro barani Afrika.

  •  Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Oct 21, 2020 12:18

    Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.

  • HAMAS na Fat'h kujadili namna ya kukabiliana na mpango wa kuumega Ufukwe wa Magharibi

    HAMAS na Fat'h kujadili namna ya kukabiliana na mpango wa kuumega Ufukwe wa Magharibi

    Jul 25, 2020 08:14

    Harakati za Palestina za HAMAS na Fat'h zimekubaliana kuitisha kikao cha pamoja katika Ukanda wa Gaza kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na mipango ya utawala wa Kizayuni ya kughusubu ardhi za Palestina.

  • Kikao cha viongozi wa Ulaya kwa ajili ya kukabiliana na athari za kifedha za janga la COVID-19

    Kikao cha viongozi wa Ulaya kwa ajili ya kukabiliana na athari za kifedha za janga la COVID-19

    Jul 18, 2020 06:56

    Janga la COVID-19 au corona barani Ulaya limepelekea kuwepo nyufa na mapungufu katika Umoja wa Ulaya kuliko wakati mwingine wowote ule. Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanafahamu vizuri sana umuhimu wa changamoto zinazotokana na changa la COVID-19 hasa matatizo ya kifedha na kiuchumi na hivyo wanajaribi kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS