Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis

    Jun 01, 2022 10:08

    Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Apr 13, 2022 04:08

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema changamoto zote zinazolikabili taifa hili zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kusisitiza kuwa, Mfumo wa Uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepata mafanikio mengi katika sekta tofauti na kuwa kivutio kikubwa kwa mataifa mengi duniani.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui

    Jan 31, 2022 04:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kusimama kidete sekta ya uzalishaji bidhaa za ndani mbele ya hujuma za kiuchumi na njama za adui za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta na gesi yake, na pia kusimama imara mbele ya vita vya kuifungia Tehran vyanzo vya fedha za kigeni na kupanga njama za kuzuia mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi nyingine, kwa hakika ni jihadi na ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa.

  • Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)

    Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)

    Jan 04, 2022 03:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehudhuria kikao cha usiku wa kwanza cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA) binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (as), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.

  • Kiongozi Muadhamu: Jenerali Soleimani ndiye shakhsia mkubwa wa Iran, Umma

    Kiongozi Muadhamu: Jenerali Soleimani ndiye shakhsia mkubwa wa Iran, Umma

    Jan 01, 2022 13:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu

    Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu

    Oct 24, 2021 15:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (SAW) kulifungua ukurasa mpya katika maisha ya mwanadamu.

  • Kiongozi Muadhamu ataka Afghanistan iwaadhibu waliouhusika na shambulio dhidi ya msikiti

    Kiongozi Muadhamu ataka Afghanistan iwaadhibu waliouhusika na shambulio dhidi ya msikiti

    Oct 10, 2021 02:52

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa mamlaka za Kabul kuwaadhibu waliohusika na shambulizi la bomu lililoua makumi ya watu msikitini katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan juzi Ijumaa.

  • Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran ni ukuta madhubuti dhidi ya vitisho vya maadui

    Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran ni ukuta madhubuti dhidi ya vitisho vya maadui

    Oct 03, 2021 14:56

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni sawa na ukuta madhubuti na ngao imara ya kuzima vitisho vya maadui wa ndani na nje ya taifa hili.

  • Kiongozi Muadhamu: Wamagharibi hawana muamana, miradi ya Iran isifungamanishwe nao

    Kiongozi Muadhamu: Wamagharibi hawana muamana, miradi ya Iran isifungamanishwe nao

    Jul 28, 2021 11:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.

  • Kiongozi Muadhamu amteua Mohseni-Ejei kuwa Mkuu mpya wa Vyombo vya Mahakama Iran

    Kiongozi Muadhamu amteua Mohseni-Ejei kuwa Mkuu mpya wa Vyombo vya Mahakama Iran

    Jul 01, 2021 08:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Gholamhossein Mohseni-Ejei kuwa Mkuu mpya wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS