-
Utawala wa Kizayuni: Tumepata hasara kubwa katika operesheni ya El'ad
May 06, 2022 04:30Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni amekiri hasara kubwa iliyopata Israel kutokana na operesheni ya kishujaa ya wanamapambano wa Palestina katika kitongoji cha El'ad cha mashariki mwa Tel Aviv na kusema kuwa, tumepata hasara kubwa katika operesheni hiyo.
-
OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni
Aug 29, 2018 07:46Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina.