Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kombora

  • Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora

    Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora

    Sep 12, 2018 03:09

    Duru za habari leo asubuhi zimeripoti kuwa uwanja wa ndege wa Tripoli mji mkuu wa Libya umeshambuliwa kwa kombora.

  • Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake

    Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake

    Aug 19, 2018 10:51

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza ilipanga kuzindua leo Jumapili sehemu ya makombora yaliyotumiwa na harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu kwa ajili ya kuilinda nchi hiyo katika miaka ya karibuni.

  • Jinamizi la kuendelea kupigwa Saudia kwa makombora ya Wayemen

    Jinamizi la kuendelea kupigwa Saudia kwa makombora ya Wayemen

    Jun 13, 2018 02:07

    Turki al Maliki, msemaji wa muungano vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ametangaza kuwa hadi sasa Wayemen wameshavurumisha makombora 149 upande wa Saudia.

  • Makombora ya Yemen yaulenga mji mkuu wa Saudia, Riyadh

    Makombora ya Yemen yaulenga mji mkuu wa Saudia, Riyadh

    May 09, 2018 21:56

    Wanajeshi wa Yemen wametumia makombora yaliyoundwa nchini humo kushambulia maeneo kadhaa ya kijeshi na kiuchumi ya Saudia Arabia ukiwemo mji mkuu wa nchi hiyo, Riyadh.

  • Syria: Hivi sasa tuna uwezo mkubwa wa kutungua makombora ya adui

    Syria: Hivi sasa tuna uwezo mkubwa wa kutungua makombora ya adui

    Apr 17, 2018 09:51

    Mshauri wa Rais Bashar al-Assad wa Syria, Bouthaina Shaaban amesema kuwa, jeshi la Syria limethibitisha uwezo mkubwa wa makombora yake hasa baada ya kukabiliana vilivyo na shambulizi la hivi karibuni la Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Syria latungua makombora 9 yaliyolenga viwanja vya ndege vya kijeshi

    Jeshi la Syria latungua makombora 9 yaliyolenga viwanja vya ndege vya kijeshi

    Apr 16, 2018 23:18

    Jeshi la Syria mapema leo asubuhi limetungua makombora tisa ambayo yalikuwa yamelenga viwanja vya ndege vya kijeshi vya Shayrat mkoani Homs na Al Dumayr katika viunga vya mji mkuu Damascus.

  • Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Apr 14, 2018 02:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.

  • Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota

    Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota

    Apr 11, 2018 00:05

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota.

  • Ansarullah ya Yemen yavurumisha kombora katika kambi ya Jeshi la Saudia huko Najran

    Ansarullah ya Yemen yavurumisha kombora katika kambi ya Jeshi la Saudia huko Najran

    Mar 31, 2018 10:43

    Kitengo cha Makombora cha Harakati ya Ansarullah ya Yemen kimetangaza kuwa kimevurumisha kwa mafanikio kombora la balistiki ambalo limelenga kituo cha Jeshi la Saudia katika mkoa wa Najran kusini mwa ufalme huo.

  • Ufaransa yataka kusimamishwa mpango wa makombora wa Iran

    Ufaransa yataka kusimamishwa mpango wa makombora wa Iran

    Mar 08, 2018 12:29

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema anachukua hatua kadhaa kwa lengo la kuhakikisha mpango wa makombora ya balisitiki wa Iran unasimamishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS