Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kombora

  • Sharti la Kufanya Mazungumzo Kuhusu Makombora ya Iran ni Kuangamizwa Makombora ya Masafa Marefu ya Marekani na Ulaya

    Sharti la Kufanya Mazungumzo Kuhusu Makombora ya Iran ni Kuangamizwa Makombora ya Masafa Marefu ya Marekani na Ulaya

    Mar 03, 2018 12:52

    Msemaji wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sharti la kufanya mazungumzo kuhusu makombora ya Iran ni kuangamizwa silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu ya Marekani na Ulaya.

  • Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House

    Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House

    Jan 31, 2018 03:58

    Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, serikali ya Donald Trump nchini Marekani imeongeza uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden: Israel inayo makombora ya nyuklia

    Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden: Israel inayo makombora ya nyuklia

    Jan 24, 2018 04:26

    Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden Carl Bildt ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba: Israel inayo makombora ya kisasa ya balistiki yenye uwezo wa kinyuklia.

  • Kombora la Yemen laua mamluki 35 wa Saudia mkoani Taizz

    Kombora la Yemen laua mamluki 35 wa Saudia mkoani Taizz

    Jan 23, 2018 04:04

    Vikosi vya Yemen vimefyatua kombora la balestiki na kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia katika mkoa wa Taizz, kusini mashariki mwa nchi.

  • Yemen yashambulia kwa kombora kambi ya jeshi la Saudia

    Yemen yashambulia kwa kombora kambi ya jeshi la Saudia

    Jan 21, 2018 04:21

    Vikosi vya jeshi la Yemen vikishirikiana na harakati ya Ansarullah vimeshambulia kambi ya kijeshi ya Saudi Arabia katika eneo la Najran, kwa kombora la balestiki la masafa mafupi.

  • Answarullah yashambulia kwa kombora uwanja wa ndege wa Jazan, Saudia

    Answarullah yashambulia kwa kombora uwanja wa ndege wa Jazan, Saudia

    Jan 17, 2018 04:47

    Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limeushambulia kwa kombora uwanja wa ndege wa Jazan, kusini magharibi mwa Saudia ikiwa ni katika hatua ya ulipizaji kisasi kutokana na uvamizi wa Saudia na washirika wake dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.

  • Saudia kununua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Saudia kununua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Jan 09, 2018 12:42

    Gazeti la moja la Uswisi limefichua mpango wa Saudi Arabia kutaka kununua mfumo wa ngao ya makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, katika hali ambayo ripoti zinasema tawala mbili hizo zipo mbioni kuimarisha uhusiano wao dhidi ya Iran.

  • Mashambulizi ya makombora ya Yemen yaitia kiwewe Saudi Arabia

    Mashambulizi ya makombora ya Yemen yaitia kiwewe Saudi Arabia

    Jan 06, 2018 23:13

    Viongozi wa serikali ya Riyadh Ijumaa usiku waliitisha kikao cha dharura cha Baraza la Masuala ya Kisiasa na Kiusalama baada ya shambulizi la makombora ya harakati ya Ansarullah lililolenga eneo la Najran huko kusini mwa Saudi Arabia.

  • Mji wa Riyadh washambuliwa tena kwa kombora la balestiki, sasa ni wizara ya ulinzi ya Saudia

    Mji wa Riyadh washambuliwa tena kwa kombora la balestiki, sasa ni wizara ya ulinzi ya Saudia

    Dec 30, 2017 04:14

    Duru za Yemen zimetangaza kuwa zimevurumisha kombora jengine la balestiki kupiga wizara ya ulinzi ya Saudi Arabia mjini Riyadh.

  • Ansarullah yavurumisha kombora la balestiki kulenga kasri ya Mfalme wa Saudia

    Ansarullah yavurumisha kombora la balestiki kulenga kasri ya Mfalme wa Saudia

    Dec 19, 2017 09:59

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefyatua kombora la balestiki kuilenga Kasri ya al-Yamamah, makazi rasmi ya Mfalme Salman wa Saudi Arabia katika mji mkuu Riyadh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS