Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kombora

  • Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa

    Dec 16, 2017 04:31

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa.

  • Zarif: Marekani ni mshirika wa Saudia katika uhalifu wa kivita Yemen

    Zarif: Marekani ni mshirika wa Saudia katika uhalifu wa kivita Yemen

    Dec 16, 2017 00:15

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa Marekani ni mshirika wa Saudi Arabia katika uhalifu na jinai za kivita zinazofanyika nchini Yemen.

  • UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    Dec 15, 2017 00:47

    Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa usiku wa kuamkia leo amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha madai kwamba makombora yanayotumiwa na jeshi la Yemen kuipiga Saudi Arabia yanatoka nchini Iran.

  • Katibu Mkuu wa UN: Makombora yaliyoshambulia Saudia kutokea Yemen si ya Iran

    Katibu Mkuu wa UN: Makombora yaliyoshambulia Saudia kutokea Yemen si ya Iran

    Dec 12, 2017 12:53

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo haujaweza kuthibitisha kuwa makombora yaliyolenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh ni ya Iran.

  • Ansarullah Yemen: Kombora lililorushwa Abu-Dhabi; ni jibu kwa njama za Imarati

    Ansarullah Yemen: Kombora lililorushwa Abu-Dhabi; ni jibu kwa njama za Imarati

    Dec 03, 2017 10:51

    Mwakilishi wa Kamati ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa kombora la Cruz lililorushwa huko Abu-Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu ni jibu kwa njama zinazofanywa na Imarati za kuviangamiza vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen.

  • Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Dec 01, 2017 01:11

    Jeshi la Yemen kwa ushirikiano na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah limefyatua kombora jengine la balisitiki la masafa ya kati na kulenga eneo la kijeshi ndani ya ardhi ya Saudia, likiwa ni kombora la pili kufyatuliwa na jeshi hilo ndani ya mwezi huu.

  • Answarullah: Miji mikuu ya nchi zinazoishambulia Yemen iko katika shabaha ya makombora yetu

    Answarullah: Miji mikuu ya nchi zinazoishambulia Yemen iko katika shabaha ya makombora yetu

    Nov 09, 2017 11:29

    Kiongozi wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, miji mikuu ya nchi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia, iko katika shabaha ya makombora ya jeshi la Yemen na harakati hiyo ya wananchi.

  • Kombora la balistiki la Yemen laulenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid mjini Riyadh, Saudia

    Kombora la balistiki la Yemen laulenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid mjini Riyadh, Saudia

    Nov 05, 2017 04:37

    Kikosi cha makombora cha jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi jana usiku kilifyatua kombora la balistiki la masafa marefu aina ya Borkan H2 na kuulenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mfalme Khalid ulioko kwenye mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.

  • Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Oct 19, 2017 04:16

    Afisa wa ngazi za juu wa kijeshi nchini Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake mkubwa wa makombora.

  • Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina

    Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina "baba wa mabomu yote"

    Sep 16, 2017 03:47

    Kamanda ngazi za juu wa jeshi la Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina "baba wa mabomu yote" na lenye nguvu kubwa zaidi kuliko yote yasiyo ya nyuklia duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS