-
Ukraine yavunja uhusiano na Korea Kaskazini kwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga na nchi hiyo
Jul 14, 2022 07:26Ukraine imevunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Korea Kaskazini baada ya Pyongyang kuyatambua maeneo mawili ya mashariki ya Ukraine ya Donetsk na Luhansk yaliyojitenga na Kyiv na kujitangaza Jamhuri huru zinazojitawala.
-
Korea Kaskazini yafyatua makombora 8 sambamba na kumalizika mazoezi ya kijeshi ya US na Korea Kusini
Jun 05, 2022 08:05Korea Kaskazini imeyafanyia majaribio makombora manane ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini katika upande wa pwani yake ya mashariki, siku moja tu baada ya jirani yake Korea Kusini na Marekani kukamilisha mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Ufilipino.
-
Marekani: Kiongozi wa Korea Kaskazini hana hamu yoyote ya kukutana na Biden
May 20, 2022 07:35Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa serikali ya Marekani amesema, Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ambaye hapo kabla aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, hajaonyesha hamu yoyote ya kukutana na rais wa sasa wa nchi hiyo Joe Biden.
-
Korea Kaskazini yafanyia jaribio kombora kabla ya Biden kuwasili Seoul
May 08, 2022 04:27Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora la pili la balistiki siku chache tu kabla ya Rais Joe Biden wa Marekani kutembelea nchi jirani ya Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara
Mar 24, 2022 13:19Korea Kusini na Japan zimesema, Korea Kaskazini imefanyia majaribio kile kinachoshukiwa kuwa ni kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara.
-
Marekani yaingiwa na kiwewe baada ya Pyongyang kuvurumisha kombora la balestiki
Jan 06, 2022 02:49Marekani imeingiwa na kiwewe baada ya jeshi la Korea Kaskazini kuvurumisha baharini kombora jingine la balestiki.
-
Korea Kaskazini yavurumisha baharini kombora jingine la balestiki
Oct 19, 2021 13:24Kwa mara nyingine tena, jeshi la Korea Kaskazini limevurumisha baharini kombora jingine la balestiki katika pwani ya mashariki ya nchi hiyo.
-
Marekani: Tuko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote
Oct 05, 2021 10:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, nchi yake iko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote yale.
-
Korea Kaskazini yasema imefanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hypersonic
Sep 29, 2021 13:00Korea Kaskazini imetangaza kuwa imefanikiwa kurusha kombora jengine la balestiki aina ya hypersonic liitwalo Hwasong-8.
-
Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia
Sep 20, 2021 10:14Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.