-
Kim ataka Korea Kaskazini ijiandae kwa makabiliano na Marekani
Jun 19, 2021 05:04Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema nchi hiyo inakaribisha mpango wowote wa kufanyika mazungumzo mapya baina yake na Marekani, lakini kamwe haiweza kuondoa mezani chaguo la vita.
-
Korea ya Kaskazini yakosoa hali ya haki za binadamu katika nchi za Magharibi
Mar 23, 2021 07:40Korea ya Kaskazini imezikosoa nchi za Magharibi kwa kukiuka haki za binadamu na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kuchukua hatua ya kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.
-
Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea
Aug 28, 2020 10:12Takriban ni miongo 7 sasa ambapo Marekani ina wanajeshi wake katika Rasi ya Korea. Licha ya kufanyika mazungumzo mara kadhaa baina ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kupokonywa silaha za nyuklia Pyongyang lakini mgogoro wa Korea mbili bado uko vile vile. Si hayo tu lakini rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anataka kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Korea Kusini, suala ambalo limezusha mzozo mpya.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini akabidhi baadhi ya mamlaka kwa dada yake
Aug 21, 2020 07:48Duru za Intelijensia za Korea Kusini zimeripoti kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amekabdihi baadhi ya mamlaka yake kwa dada yake Kim Yo-jong.
-
Rouhani: Iran itasimama kidete zaidi dhidi ya ubeberu wa Marekani
Jun 25, 2020 08:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litasimama kidete zaidi kukabiliana na sera za kibeberu za Marekani hata kuliko huko nyuma.
-
Waziri wa Umoja Korea Kusini ajiuzulu huku mgogoro na Korea Kaskazini ukishadidi
Jun 19, 2020 02:34Kufuatia kushadidi mgogoro baina ya Korea Kusini na Korea Kaskazini, Waziri wa Umoja wa Korea Kusini amejiuzulu. Wizara ya Umoja wa Korea Kusini hushughulikia jitihada za kujaribu kuziunganisha tena nchi hizo mbili.
-
Mvutano usio wa kawaida katika Rasi ya Korea
Jun 17, 2020 07:16Kufuatia kuongezeka mvutano kati ya Korea mbili, Korea Kaskazini imelipua ofisi ya masuala ya kiutamaduni iliyoanzishwa kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano ya nchi mbili katika eneo la viwanda la Kaye Sung.
-
Hofu ya vita baina ya Korea Kaskazini na Korea Kusini
Jun 17, 2020 02:43Kumeibuka hofu kubwa ya vita baina ya Korea Kaskaizni na Korea Kusini baada ya wakuu wa Pyongyang kulipua kwa hasira ofisi ya mawasiliano baina ya Korea mbili iliyopo katika eneo la Kaesong.
-
Hofu ya vita baina ya Korea Kaskazini na Korea Kusini
Jun 17, 2020 00:51Kumeibuka hofu kubwa ya vita baina ya Korea Kaskaizni na Korea kusini baada ya wakuu wa Pyongyang kulipua kwa hasira ofisi ya mawasiliano baina ya Korea mbili iliyopo katika eneo la Kaesong.
-
Marekani yaitaka tena Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia
May 27, 2020 05:07Kwa mara nyingine Robert O'Brien, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ameitaka Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia kwa kile alichokiita kuwa ni kupewa fursa za kiuchumi.