Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Hofu ya vita baina ya Korea Kaskazini na Korea Kusini

    Hofu ya vita baina ya Korea Kaskazini na Korea Kusini

    Jun 16, 2020 20:21

    Kumeibuka hofu kubwa ya vita baina ya Korea Kaskaizni na Korea kusini baada ya wakuu wa Pyongyang kulipua kwa hasira ofisi ya mawasiliano baina ya Korea mbili iliyopo katika eneo la Kaesong.

  • Marekani yaitaka tena Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia

    Marekani yaitaka tena Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia

    May 27, 2020 00:37

    Kwa mara nyingine Robert O'Brien, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ameitaka Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia kwa kile alichokiita kuwa ni kupewa fursa za kiuchumi.

  • Kim Jong-un, aongoza kikao cha nyuklia mjini Pyongyang, Korea Kaskazini

    Kim Jong-un, aongoza kikao cha nyuklia mjini Pyongyang, Korea Kaskazini

    May 25, 2020 02:31

    Kikao cha kuchunguza ongezeko la uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na Kim Jong-un, Kiongozi wa nchi hiyo mjini Pyongyang.

  • Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini aonekana hadharani

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini aonekana hadharani

    May 02, 2020 06:42

    Shirika la Serikali ya Korea Kaskazini limeripoti habari ya kuonekana hadharani kiongozi wa nchi hiyo.

  • Korea Kusini yasema habari za ugonjwa wa Kim Jong-un ni za kubuni tu

    Korea Kusini yasema habari za ugonjwa wa Kim Jong-un ni za kubuni tu

    Apr 29, 2020 22:07

    Wizara ya Umoja ya Korea Kusini ambayo ina jjukumu la kuratibu uhusiano wa Korea mbili, imesema kuwa habari zinazohusu ugonjwa wa Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ni za kubuni tu na zisizo na msingi.

  • Huku kukiwa na tetesi za kifo chake, kiongozi wa Korea Kaskazini amtumia barua rais wa Afrika Kusini

    Huku kukiwa na tetesi za kifo chake, kiongozi wa Korea Kaskazini amtumia barua rais wa Afrika Kusini

    Apr 28, 2020 06:14

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimechapisha barua ya kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un ambayo iliandikwa na kutiwa saini na kiongozi huyo Jumatatu.

  • Korea Kaskazini yakosoa hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Pyongyang

    Korea Kaskazini yakosoa hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Pyongyang

    Mar 31, 2020 01:31

    Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa kitendo cha kuendelea hatua za uhasama za Marekani dhidi yake.

  • Korea Kaskazini yavurumisha tena makombora ya balestiki ya masafa mafupi

    Korea Kaskazini yavurumisha tena makombora ya balestiki ya masafa mafupi

    Mar 29, 2020 03:33

    Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini mapema leo Jumapili imevurumisha makombora mawili ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini, huko pwani ya mashariki ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Korea Kaskazini laanzisha tena shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa mwezi mmoja

    Jeshi la Korea Kaskazini laanzisha tena shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa mwezi mmoja

    Mar 17, 2020 23:38

    Kwa mara nyingine tena jeshi la Korea Kaskazini limeanzisha shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa siku 30 kufuatia maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Baadhi ya mabalozi na wanadiplomasia wahamishwa kutoka Korea Kaskazini

    Baadhi ya mabalozi na wanadiplomasia wahamishwa kutoka Korea Kaskazini

    Mar 09, 2020 23:07

    Sambamba na kushadidi hatua za serikali ya Korea Kaskazini za kukabiliana na virusi vya Corona, ndege maalumu ya nchi hiyo imewaondoa makumi ya wanadiplomasia na raia wa kigeni kutoka nchi hiyo na kuwapeleka katika uwanja wa ndege wa mashariki mwa Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS