• Wimbi la kimataifa la kuwaunga mkono watu wa Gaza

    Wimbi la kimataifa la kuwaunga mkono watu wa Gaza

    Apr 08, 2024 07:44

    Kufanyika Mkutano wa Kimataifa wa Kimbunga cha Al-Aqsa huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia kwa kuhudhuriwa na makumi ya asasi zisizo za kiserikali, wasomi, wanafikra, mwakilishi maalum wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi kadhaa za Asia, kunaoneysha wimbi kubwa la uungaji mkono wa kimataifa kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.

  • Rais wa Iran asisitiza  ulazima wa kustafidi na suhula za Ulimwengu wa Kiislamu

    Rais wa Iran asisitiza ulazima wa kustafidi na suhula za Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 19, 2019 13:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa umoja na mshikamano vinaweza kusiadia ustawi wa nchi za Kiislamu na kupatia ufumbuzi matatizo ya Waislamu na kusisitiza juu ya ulazima wa kustafidi na suhula nyingi za Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuachana na mfumo wa kifedha wa Marekani

    Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuachana na mfumo wa kifedha wa Marekani

    Dec 19, 2019 08:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una changamoto nyingi kitaifa na kimataifa na kusisitiza kuwa, nchi za Kiislamu zinapaswa kuwa na tadibiri na mikakati madhubuti ya kuachana na ubeberu wa sarafu ya dola wa kutegemea mfumo wa kifedha wa Marekani.