-
Wapalestina wengine watatu wauliwa shahidi Al-Khalil
Mar 14, 2016 16:19Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana watatu wa Kipalestina karibu na mji wa Al-Khalil katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Tangu Oktoba, askari wa Israel wameshawaua shahidi Wapalestina 200
Mar 10, 2016 16:39Asksari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 200 tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwezi Oktoba mwaka jana hadi hivi sasa.