-
Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq
Dec 12, 2019 08:00Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Njama za Marekani za kukandamiza harakati ya ususiaji utawala wa Israel
Oct 30, 2017 13:33Kufuatia kuimarika harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel maarufu kwa jina la BDS nchini Marekani, jimbo la Wisconsin nchini humo limejiunga na majimbo ambayo yamepiga marufuku utiwaji saini mikataba na mashirika ambayo yanaunga mkono harakati hiyo ya kususia Israel.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani
May 25, 2017 03:33Katika hali ambayo harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq katika kukabiliana na ugaidi inaendelea kupongezwa na viongozi, wananchi na hata katika fikra za walio wengi, wanamapambano wa harakati hiyo bado wanaendelea kushambuliwa na ndege za kijeshi za Marekani.