• Kuanza usitishwaji vita Yemen

    Kuanza usitishwaji vita Yemen

    Apr 11, 2016 00:17

    Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.

  • Kuafiki Syria mpango wa usitishaji vita

    Kuafiki Syria mpango wa usitishaji vita

    Feb 24, 2016 03:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa rasmi na kueleza kwamba serikali ya Damascus inaukubali na itautekeleza mpango wa usitishaji vita uliotangazwa na Marekani na Russia.